Nape utuambie ukweli je hii picha inakuhusu? kama ndiyo kadi yetu ikowapi ya CCJ??

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,555
8,552
Nimehamasika kuweka hii picha kwa sababu tunachokiamini kuwa Nnauye Jr nimwanacha halali wa CCJ kwa maana mpaka leo hajarudisha kadi yetu na hajakana kwenye vyombo vya habari kuwa yeye siyo tena mwanachama wa CCJ.
ccj.jpg
Yangu ni hayo nasubiri mrejesho maana nakumbuka siku zakaribuni alimshambulia Katibu mkuu wa cha Demoklasia na maendeleo kuwa yeye hajarudisha Kadi ya CCM, na mimi leo nataka aseme kama alirudisha kadi ya chama chetu CCJ.Tunaitaka kadi yetu.
 
Last edited by a moderator:
Hapo umempatia kwelikweli, naye atwambie kama analipia kadi ya ccj maana hajairudisha. Ubaya wa ccm ni kuwa ni muunganiko wa vyama vingi vikikiwa na wasemaji wengi kila mmoja na masilahi ya kuiba
 
Nimehamasika kuweka hii picha kwa sababu tunachokiamini kua Nape ni mwanacha halali wa CCJ kwa maana mpaka leo hajarudisha kadi yetu na hajakana kwenye vyombo vya habari kuwa yeye siyo tena mwanachama wa CCJ.
View attachment 73798
Yangu ni hayo nasubiri mrejesho maana nakumbuka siku zakaribuni alimshambulia Katibu mkuu wa cha Demoklasia na maendeleo kuwa yeye hajarudisha Kadi ya CCM, na mimi leo nataka aseme kama alirudisha kadi ya chama chetu CCJ.Tunaitaka kadi yetu.

Tupe source ya hii picha, maana kuna photoshop activities. Na unaposema la ukweli thibitisha source yako ili toweze ku-prove. Kwanini unajificha jina lako. Hiki kitu muhimu sana tukipata ukweli wake.
 
picha inaweza kuwa ya kweli, lakini mwana ni kweli alichukua kadi ya CCJ? tupeni dondoo zaidi, kadi ya CCJ ni namba ngapi?:confused2:
 
picha inaweza kuwa ya kweli, lakini mwana ni kweli alichukua kadi ya CCJ? tupeni dondoo zaidi, kadi ya CCJ ni namba ngapi?:confused2:
Wewe unategemea muhasisi atakuwa na kadi namba gapi?Kamwulize 6 alikuwa na namba ngapi!
 
Wanabodi
Mwanafalsafa bingwa wa mabingwa Yesu Kristo au Nabii Issa katika injili zake, Alisema,"Usitoe kibanzi kwa mwenzako bila kwanza kutoa boriti lililoko jichoni mwaka"
Taarifa za kiuchunguzi na Mhe. Mpendazoe walituambia ujio wa CcJ ulikuwa na waasisi wake Nape na 6 wakiwa miongoni mwao
Naomba watuambie
1. Kadi walisharudisha CCJ Walipoamua kuendelea na ccm.
2.Mtu anapoteza uachama ccJ kwa kufanyaje
ahsanteni wadau ongezeni mengine tuelewishane maana sijawahi sikia mwanachama kahama chama akarudisha kadi kwa chama cha awali
 
Suala la kurudisha kadi ama la ni kitu kinachoitwa cheap politics ambazo great thinkers hawapaswi kuingia kwenye mtego huo. Jiulize mwenyewe unarudisha kadi ili iweje? Nani atakupokelea kadi hiyo? Nasema tena mimi niliwahi kuingia magamba wakati najiunga na jeshi...sikuwahi kulipia kadi hiyo wala kufuatilia chochote cha chama hicho...sasa ni miaka karibu 30, je mimi bado ni mwana ccm? Mkikubali kununuliwa kwa siasa nyepesi kama hizo hatutafika mbali
 
Hata kama ni wana kadi ya chadema ni wao..niliwahi kuwa mwana NCCR mwaka 2000,kadi imekufa cku nilipochukua ya MAKAMANDA,ile ipo ktk makumbusho yangu masjala..haina tabu
 
Sioni haja ya kupoteza muda wa kujadili kadi kama wapuuzi magamba, tuna jukumu kubwa la kuumiza vichwa juu ya namna ya kupambana ili kuwakomboa Watanzania maskini kutoka kwenye lindi la umaskini na sio cheap politics za kuzunguka kila thrmead na wimbo kadi, kadi, kadg, kadi
 
Suala la kurudisha kadi ama la ni kitu kinachoitwa cheap politics ambazo great thinkers hawapaswi kuingia kwenye mtego huo. Jiulize mwenyewe unarudisha kadi ili iweje? Nani atakupokelea kadi hiyo? Nasema tena mimi niliwahi kuingia magamba wakati najiunga na jeshi...sikuwahi kulipia kadi hiyo wala kufuatilia chochote cha chama hicho...sasa ni miaka karibu 30, je mimi bado ni mwana ccm? Mkikubali kununuliwa kwa siasa nyepesi kama hizo hatutafika mbali

Safari hii makamanda wa ukweli tutawajua! Waache wapukutike!
 
wanabodi
mwanafalsafa bingwa wa mabingwa yesu kristo au nabii issa katika injili zake, alisema,"usitoe kibanzi kwa mwenzako bila kwanza kutoa boriti lililoko jichoni mwaka"
taarifa za kiuchunguzi na mhe. Mpendazoe walituambia ujio wa ccj ulikuwa na waasisi wake nape na 6 wakiwa miongoni mwao
naomba watuambie
1. Kadi walisharudisha ccj walipoamua kuendelea na ccm.
2.mtu anapoteza uachama ccj kwa kufanyaje
ahsanteni wadau ongezeni mengine tuelewishane maana sijawahi sikia mwanachama kahama chama akarudisha kadi kwa chama cha awali
masahihisho kidogo, yesu anasema hivi "mnafiki wewe,toa kwanza lile boriti katika jicho lako ndipo utakapoona vyema kile kibanzi katika jicho la mwenzako".
 
Suala la kurudisha kadi ama la ni kitu kinachoitwa cheap politics ambazo great thinkers hawapaswi kuingia kwenye mtego huo. Jiulize mwenyewe unarudisha kadi ili iweje? Nani atakupokelea kadi hiyo? Nasema tena mimi niliwahi kuingia magamba wakati najiunga na jeshi...sikuwahi kulipia kadi hiyo wala kufuatilia chochote cha chama hicho...sasa ni miaka karibu 30, je mimi bado ni mwana ccm? Mkikubali kununuliwa kwa siasa nyepesi kama hizo hatutafika mbali
he! wewe uko jeshini halafu unafanya siasa? kazi kweli kweli.any way labda nikuulize kaswali kengne nje ya mada (samahani lakini) Hivi kwa nini mmekuwa na tabia ya kuwapiga traffic (askari wenzenu) pale ubungo?
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom