Nape, usipolichukulia MwanaHALISI hatua utakuwa una chuki binafsi

Wana jukwaa heshima kwenu
Niende kwenye hoja.
Gazeti la leo la Mwanahalisi limeandika taarifa ya uchochezi, kudhalilisha na kuchonganisha. Nikiwa kama mkazi wa Dar es salaam imenikwaza sana.

Kuna aya nyingi zinazosema '' Daudi (Makonda kwa sasa)" huu ni udhalilishaji, Nape upo kimya kwa nini? au bado una bifu la wem#?
Daudi (Makonda Kwa sasa) alipata sifuri (division zero). Makonda amekana juzi kwenye kikao cha RC hajawahi kupata zero,unataka nini ili uchukue hatua.

Hivi ungekuwa umeandikwa wewe mh Nape ungekaa kimya?

Na usipolichukulia hatua juu ya hii habari, tutaamini unayoyafungia ni kwa sababu ya chuki .
Msijibu kwa jazba tushee mawazo

Nawasilisha
Kama wameandika kitu ambacho ni cha kweli, wewe unataka wawajibishwe vipi? Ili wawajibishwe hao Mwanahalisi, makonda anatakiwa akanushe kwa data kama yeye si Daud Bashite na ile sifuri ya Daud Bashite sio yake.
mimi naona Mwanahalisi wapewe zawadi kwa kuibua uhalifu wa huyu Daud Bashite (Mkonda wa sasa)
 
Kesho walifungie haraka sana..

Lakini hoja ya msingi ni kuhusu kugandamizia elimu.

Uhakiki wa vyeti ni jambo la msingi sana!
Inapendeza kila mtu akatumia cheti chake ndicho kilichobeba alichokitafuta darasani!
 
Ifike mahala tasnia ya habari iweze kuheshimiwa na kutunza heshima hiyo hususan waandishi wenyewe, kwa mandishi ili afanye kazi na kampuni kupata fedha lazima kuwe na ubunifu na mawazo chanya ,kwa mwandishi wa habari aliona na kuichulia hili kuwa ni habari ambayo anaweza akauza, may be hajaangalia maudhui na hadhira watapokeaje uandishi wake na mawazo yake ya haraka ila ameripoti tatizo ni uandishi, tukubali kwa sasa kutokana utanda wazi tunaishi kupitia kupashana habari kwa gazeti ama mitandao ya kijamii.
Ilitokea kipindi Jerry Muro aliripoti habari ambazo viongozi wa ngazi za juu walikuwa hawazifahamu ,habari ambazo zilikuwa za ki uchunguzi lakini aliwekewa zengwe na kujikuta anaingia mitegoni kwa mbinu za wasipenda kuanikwa ikaishia kuji haribia ,lakini ilisadia kujua makubwa zaidi, tufike mahali tutambue hili na wahariri wa simamie walio chini yao kuhakikisha hakuna jambo linakuja kishabiki zaidi ya habari yenye utafiti na ukweli.
 
Wana jukwaa heshima kwenu.

Niende kwenye hoja.

Gazeti la leo la Mwanahalisi limeandika taarifa ya uchochezi, kudhalilisha na kuchonganisha. Nikiwa kama mkazi wa Dar es salaam imenikwaza sana.

Kuna aya nyingi zinazosema '' Daudi (Makonda kwa sasa)" huu ni udhalilishaji, Nape upo kimya kwa nini? au bado una bifu la wem#?

Daudi (Makonda Kwa sasa) alipata sifuri (division zero). Makonda amekana juzi kwenye kikao cha RC hajawahi kupata zero,unataka nini ili uchukue hatua.

Hivi ungekuwa umeandikwa wewe mh Nape ungekaa kimya?

Na usipolichukulia hatua juu ya hii habari, nitaamini unayoyafungia ni kwa sababu ya chuki.

Msijibu kwa jazba tushee mawazo

Nawasilisha
Sawa MAKONDA hajawahi kupata sifuri....lete VYETI DAUDI BASHITE....maneno ya nn
 
Hivi jamani la je.sc.a si ni kosa hilo hilo la vyeti?

Tusimshangae sana mkuu inawezekana yupo na madaraka yasiyo yake hadi anajiteulia mabashite
 
Wana jukwaa heshima kwenu.

Niende kwenye hoja.

Gazeti la leo la Mwanahalisi limeandika taarifa ya uchochezi, kudhalilisha na kuchonganisha. Nikiwa kama mkazi wa Dar es salaam imenikwaza sana.

Kuna aya nyingi zinazosema '' Daudi (Makonda kwa sasa)" huu ni udhalilishaji, Nape upo kimya kwa nini? au bado una bifu la wem#?

Daudi (Makonda Kwa sasa) alipata sifuri (division zero). Makonda amekana juzi kwenye kikao cha RC hajawahi kupata zero,unataka nini ili uchukue hatua.

Hivi ungekuwa umeandikwa wewe mh Nape ungekaa kimya?

Na usipolichukulia hatua juu ya hii habari, nitaamini unayoyafungia ni kwa sababu ya chuki.

Msijibu kwa jazba tushee mawazo

Nawasilisha
We jamaa vipi?? Umekula maharagr ya wapi?
 
We unasemaje iyo ni Habari ya uchochezi wakati mtu ndugu zake na wanafunzi wenzake, waalimu wake na marafiki wameeka kila ki2 nje Kuhusu Bashite kufoji vyeti....Usitete ujinga....utakanushaje bila kuweka vyeti hadharani...kama ni anatudanganya....hakuna msomi anae ona aibu kuweka vyeti hadharani tena pale anapotuhumiwa kwa tuhuma kama za Bashite....
 
Hapo ulipokwazwa ni wapi ss
Nyie ndo wale wanafiki,mkiambiwa ukweli wachochezi acheni mchochewe mpaka muwake safar hii
 
Lumumba mkipata zero magazeti yakiandika ni uchochez! Asee hii miaka mtapata taabu sana kumbe mmejizoesha vibaya inamaa watu wa lumumba mkipata zero tuandike one! Sasa mwambieni katibu mkuu wa ccm awe katibu mkuu wa wizara ya elimu mchukue distinction za bure nyambaf inamaana mnataka kusifiwa tu hata kama mmeboronga mwambien bashite alete vyeti seriously
 
Wana jukwaa heshima kwenu.

Niende kwenye hoja.

Gazeti la leo la Mwanahalisi limeandika taarifa ya uchochezi, kudhalilisha na kuchonganisha. Nikiwa kama mkazi wa Dar es salaam imenikwaza sana.

Kuna aya nyingi zinazosema '' Daudi (Makonda kwa sasa)" huu ni udhalilishaji, Nape upo kimya kwa nini? au bado una bifu la wem#?

Daudi (Makonda Kwa sasa) alipata sifuri (division zero). Makonda amekana juzi kwenye kikao cha RC hajawahi kupata zero,unataka nini ili uchukue hatua.

Hivi ungekuwa umeandikwa wewe mh Nape ungekaa kimya?

Na usipolichukulia hatua juu ya hii habari, nitaamini unayoyafungia ni kwa sababu ya chuki.

Msijibu kwa jazba tushee mawazo

Nawasilisha
Mbona hujasema kama wewe ni wakili wa aliyeumizwa na habari hiyo.
 
Back
Top Bottom