Nape unatumikisha watoto kwa ajiri ya chama? Poleni ccm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape unatumikisha watoto kwa ajiri ya chama? Poleni ccm

Discussion in 'Jamii Photos' started by andrews, Jul 16, 2012.

 1. a

  andrews JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 2. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,778
  Likes Received: 36,771
  Trophy Points: 280
  kushinda kunapokaribiwa kushindwa wahusika hujitahidi kutumia kila namna kuonekana kuwa wanakaribia kushinda ili hali kiukweli ni kwamba wanashindwa.
  Leteni hata wabibi kwenye gwaride ila ukweli utabaki palepale.
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Hawa chichiem! Wamemshika yule mnyama Mbogo pabaya!


  Hata wangewaleta vibabu! Hakuna mtu wa kudanganyika kamwe!
   
 4. F

  FJM JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Watoto wao wako darasani kwenye shule za Saints Saints, hawa wa walalahoi wanaokaa chini sio tu wanasoma kwenye mazingira magumu lakini bado hawaachwi wakaa darasani - wanawekwa kwenye jua kuwambia wakubwa! Kuna uonevu zaidi ya huu? Mtoto wa maskini hana lake nchi hii.
   
 5. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Hii inanikumbusha enzi za zamani sana za Chipukizi. Kuna mtu anaitwa Cosmas Kasangani, yule alikuwa mmoja wa mashahidi kwenye kesi ya ubunge ya Tundu Lissu. Huyu jamaa kaanza long time alikuwa kinara wa kunoa watoto kucheza magwaride ya CCM. Jamaa alikuwa mwalimu wa shule ya msingi Isike pale Tabora ila alikuwa ni trainer mzuri sana wa chipukizi. Ila baada ya kuanzishwa sheria ya vyama vingi ilikubalika kuwa sasa watoto wa mashuleni waachwe wasome. Sasa sijui hawa watoto Nape kawatoa wapi?, je kila chama kikiwa na vijana wake kama hawa tutajenga taifa la aina gani?. Siasa tuwaachie watu walifikia umri wa kuwa na utashi wa kuamua sasa.
   
 6. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Watoto zao wapo south Africa wanasoma ili waje kurithi kazi za baba zao Kama usultani
   
 7. M

  MUNYAMAKWA Member

  #7
  Jul 16, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Teeh teeh teeh! Bongoland lazima utumie ubongo. Nyie wakubwa mngeitwa kuja kumpokea mngejitokeza? Jibu liko wazi, yanini mtu apate kashfa ya wananchi kutojitokeza kumpokea Mh.N??.Ita watoto ili wapambe mapokezi, halafu inakuwa asubuhi inakuwa jioni siku imekwisha.
   
 8. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #8
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Waacheni wehu waendelee kuvua nguo sisi tuendelee kuyakagua masaburi yao.wanaweweseka bado kuwaibua na marehemu.dead party
   
 9. a

  andrews JF-Expert Member

  #9
  Feb 21, 2013
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwa mtindo huu ndio maana div 0 ni nyingi
   
 10. BJEVI

  BJEVI JF-Expert Member

  #10
  Feb 21, 2013
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 1,360
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  kifo??..kila nafsi itakipitia.hakiepukiki.
   
Loading...