NAPE: Tumetuma Vijana wapeleke mashambulizi mitandao ya kijamii

Ulisikia wapi kipofu akaongoza njia kila itavyokuwa ujumbe wa Nape hautafika kamili wote ni vipofu

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Nilimsikiliza Nape Juzi akihojiwa Mlimani TV, moja kati ya mikakati yao ni kuwafikia vijana wengi popote walipo. Kati ya njia wanazozitumia ni kutuma vijana waingie kwenye mitandao ya kijamii ambako wanaamini kuna vijana wengi na hii itawasaidia kuwapata.

Hili wimbi la wanachama wapya kwenye hii mitandao, hususani jamiiforums, ambao wana itikadi za kimagamba limenifanya niamini kauli hii ya Nape. Lakini waje wakitambua vijana wa kileo wanajitambua na propaganda za magamba haziwezi tena kuwashawishi.

Hongera Nape lakini hii strategy, kama zilivyo nyingine, naamini haitafanya kazi kwa kuwa mfumo wa uendeshaji wa chama chenu cha magamba ni mbovu na ndio tatizo.

Nape is just acting because of the position he is given [to please him]. He is CCJ
 
Hawa majambazi wa CCM sasa wamechanganyikiwa. Halafu mbona hatusikii tena zile ngonjera zao za NGUVU ZAIDI, ARI ZAIDI, KASI ZAIDI? Wakati wa kuwadanganya Watz umepita, kilichobaki sasa ni kufungasha virago. Buriani CCM. Tulikupenda lakini mafisadi wamekupenda zaidi!
 
Mbona yeye mwenyewe Nape ameshindwa kujenga ushawishi hapa jamvini. Simnakumbuka alikuja na thread ya katuni hapa?
 
Kama hizo ndizo fikra zake bado hajaelewa mitandao ya kijamii. Members wa social networkings like Jamii ni watu wenye uelewa mkubwa miongoni mwa watanzania. Wanaweza kupima na kuchagua!

Ushauri wangu kwake, CCM watatue kero za jamii zinazopigiwa kelele na wananchi. Bila hivyo hata wangetuma vijana laki 2 ili wameze members wote kitakachotokea ni Great thinkers kuamia kwenye mitandao mingine pale JF itakapogeuzwa sehemu ya porojo!

Mwendo mchibuyuu!
Haina shaaa!
 
Nilimsikiliza Nape Juzi akihojiwa Mlimani TV, moja kati ya mikakati yao ni kuwafikia vijana wengi popote walipo. Kati ya njia wanazozitumia ni kutuma vijana waingie kwenye mitandao ya kijamii ambako wanaamini kuna vijana wengi na hii itawasaidia kuwapata.

Hili wimbi la wanachama wapya kwenye hii mitandao, hususani jamiiforums, ambao wana itikadi za kimagamba limenifanya niamini kauli hii ya Nape. Lakini waje wakitambua vijana wa kileo wanajitambua na propaganda za magamba haziwezi tena kuwashawishi.

Hongera Nape lakini hii strategy, kama zilivyo nyingine, naamini haitafanya kazi kwa kuwa mfumo wa uendeshaji wa chama chenu cha magamba ni mbovu na ndio tatizo.

Vijana wenyewe wanaotumwa ni wepi? Wale aliowazoa Hiza Tambwe na kuwapeleka pale Karimjee
kuwafanyia fujo wapinzani wakati wa kujadili katiba. Mbona hawana upeo wowote na kile kinachoendelea
nchini kwetu?

Isije ikawa ndo hawa jamaa wanaosumbua humu kwa kujibu kila post bila mpangilio! Maana kuna watu wanaboa humu kama nini!
 
Hakuna hata aliyejitokeza(vijana wa gamba) kwenye hii thread kuchangia, hapo ndio ujue ukweli unauma.
 
Malaria sugu sio kijana wewe ni mbunge sasaivi

sasa nimepata wasifu wa malaria sugu,ni mmama wa makamo mwenye watoto wa 3,mbunge wa viti maalumu.ongera ulimpa nn mheshimiwa? Alikuzantel nn?maana yy hatoi vyeo hivi hivi.
 
Nilimsikiliza Nape Juzi akihojiwa Mlimani TV, moja kati ya mikakati yao ni kuwafikia vijana wengi popote walipo. Kati ya njia wanazozitumia ni kutuma vijana waingie kwenye mitandao ya kijamii ambako wanaamini kuna vijana wengi na hii itawasaidia kuwapata.

Hili wimbi la wanachama wapya kwenye hii mitandao, hususani jamiiforums, ambao wana itikadi za kimagamba limenifanya niamini kauli hii ya Nape. Lakini waje wakitambua vijana wa kileo wanajitambua na propaganda za magamba haziwezi tena kuwashawishi.

Hongera Nape lakini hii strategy, kama zilivyo nyingine, naamini haitafanya kazi kwa kuwa mfumo wa uendeshaji wa chama chenu cha magamba ni mbovu na ndio tatizo.

Kwa hiyo na wewe wataka kusema mtandao wa J*F ni wa Chama cha Demokaya na Magwanda ?
 
Nape tatizo la watanzania sio kutuma watu kwenye mitandao ya jamii na kueneza propaganda zisizo na kichwa wala miguu tatueni matatizo ya wananchi wanaoishi chini ya dola moja ndipo chama chako kitaungwa mkono kuliko saizi kilivyopoteza dira.
 
Hii inaonyesha ni kwa naman gani CCM imeishiwa na watu wenye uwezo wa kuleta mawazo mapya. Yaani Nape ndio alikuwa tegemeo la wengi kuleta mawazo mapaya lakini perfomance yake hususan perfomance ya watu wake hapa jamvini inamdhalilisha yeye mwenyewe na CCM kwa ujumla.
 
Nilimsikiliza Nape Juzi akihojiwa Mlimani TV, moja kati ya mikakati yao ni kuwafikia vijana wengi popote walipo. Kati ya njia wanazozitumia ni kutuma vijana waingie kwenye mitandao ya kijamii ambako wanaamini kuna vijana wengi na hii itawasaidia kuwapata.

Hili wimbi la wanachama wapya kwenye hii mitandao, hususani jamiiforums, ambao wana itikadi za kimagamba limenifanya niamini kauli hii ya Nape. Lakini waje wakitambua vijana wa kileo wanajitambua na propaganda za magamba haziwezi tena kuwashawishi.

Hongera Nape lakini hii strategy, kama zilivyo nyingine, naamini haitafanya kazi kwa kuwa mfumo wa uendeshaji wa chama chenu cha magamba ni mbovu na ndio tatizo.
Kinacho wasaidia CCM ni kwamba Freemasons wamefanikiwa sana kuwafanya watanzania kuwa mandondocha kwa kutumia mind control technologies!Otherwise wasingeona ndani.
 
Hizo ndizo priorities kwenye idara na chama chake?
Mbona hao vijana walishajulikana na hawajawa na effects zozote? Mashambulizi bila credibility itasaidia nini? Ningemshauri Tambwe v2.0 (Nape) kuzidisha mashambulizi ndani ya chama chake maana hata yeye amekalia kuti kavu baada ya kubainika kuwa ni mmoja wa waanzilishi wa CCJ. Ameshaanza kuwa discussed ndani ya chama chake kuwa na yeye afukuzwe uanachama
 
Nilimsikiliza Nape Juzi akihojiwa Mlimani TV, moja kati ya mikakati yao ni kuwafikia vijana wengi popote walipo. Kati ya njia wanazozitumia ni kutuma vijana waingie kwenye mitandao ya kijamii ambako wanaamini kuna vijana wengi na hii itawasaidia kuwapata.

Hili wimbi la wanachama wapya kwenye hii mitandao, hususani jamiiforums, ambao wana itikadi za kimagamba limenifanya niamini kauli hii ya Nape. Lakini waje wakitambua vijana wa kileo wanajitambua na propaganda za magamba haziwezi tena kuwashawishi.

Hongera Nape lakini hii strategy, kama zilivyo nyingine, naamini haitafanya kazi kwa kuwa mfumo wa uendeshaji wa chama chenu cha magamba ni mbovu na ndio tatizo.

Hapo Nepi kachemka. Hoja za magamba kwenye mitandao ya kijamii haziuzi. Atafute mahala pengine pa kuwatuma.
 
Nilimsikiliza Nape Juzi akihojiwa Mlimani TV, moja kati ya mikakati yao ni kuwafikia vijana wengi popote walipo. Kati ya njia wanazozitumia ni kutuma vijana waingie kwenye mitandao ya kijamii ambako wanaamini kuna vijana wengi na hii itawasaidia kuwapata.

Hili wimbi la wanachama wapya kwenye hii mitandao, hususani jamiiforums, ambao wana itikadi za kimagamba limenifanya niamini kauli hii ya Nape. Lakini waje wakitambua vijana wa kileo wanajitambua na propaganda za magamba haziwezi tena kuwashawishi.

Hongera Nape lakini hii strategy, kama zilivyo nyingine, naamini haitafanya kazi kwa kuwa mfumo wa uendeshaji wa chama chenu cha magamba ni mbovu na ndio tatizo.
Kweli mfamaji haachi kutapatapa....! Na siku ya kufa nyani miti yote huteleza....! Watagusa kila kitu bila mafanikio, watakwenda kila kona bila mafanikio....! Wamezunguka hadi Mpanda, wameshuhudia jinsi watu walivyofunguliwa macho, sasa wanarudi kwa waliowafungua hao ....! Je, watawaweza? JF is a home of Great Thinkers....! Je, hao ni Great Thinkers? Hata huko kutateleza tu....! Na matokeo yake wataishia tu kutapatapa....!
 
Back
Top Bottom