Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Bro NAPE kokote ulipo Nathubutu kabsa kusema ya KUWA sisi WAFUASI NA WANACHAMA wa CCM...kamwe hatujarurahishwa na kuondolewa kwa WEWE kwenye UWAZIRI maana to be honest kwa kipindi hicho kifupi ulichokuwa hapo WIZARANI umeitendea haki nafasi yako na ninaamini hata RAIS MAGUFULI HILI KAMWE hawezi pinga....na pia HATA RAIS MAGUFULI kamwe hawezi pinga moja ya WATU WATANO waliofanikisha ushindi wake 2015 wewe ni mmoja wao ya hao watano.

Sasa tuje kwenye suala la kwanini RAIS MAGUFULI amekuondoa kwenye UWAZIRI...kwa hisia zangu naaamini kabsa haujawai pishana kauli wala kutofautiana na RAIS MAGUFULI ila inawezekana HILI SUALA LA MAKONDA NDIO LIMEKUONDOA....sasa limekuondoaje.

Ni hivi...bila kupepesa macho ni kweli kabsa MAKONDA anastahili kuwajibishwa kutokana na hayo makando kando anayotuhumiwa ila tatzo kubwa linalompa RAIS ugumu wa kuchukua MAAMUZI juu ya MAKONDA ni AINA YA WATU WANAOSUKA HUU MPANGO WA KUMTOA MAKONDA si watu sahihi kabsa kwa mustakabali wa nchi yetu na hapa ndipo ambapo naamini kabsa KUPITIA INTELENJIA YA IKULU imekukuta KAKA NAPE UKITUMIKA NA HAO WABAYA WA MAKONDA KUTAKA KUMWAJIBISHA MAKONDA(na ambao si watu wasafi kabsa au watu wema kwenye nchi yetu na napo sema si watu safi nadhani naeleweka vizuri kwenye hili)....NA HII NDIO SABABU KUBWA INAYO MFANYA RAIS MAGUFULI ASHINDWE CHUKUA MAAMUZI JUU YA MAKONDA maana iwapo tu akimwajibisha MAKONDA huu utakuwa ni ushindi mkubwa sana kwa hao WACHAFU.
Kingne inawezekana pia kuwa kuna sababu AWAY FROM this Mzee alikuwa anakulia Timing na ameisha kuchunguza akaona HAUPO upande wake ni miongoni mwa wabaya wake mnaotaka ashindwe kutimiza wajibu wake(Mambo ya TEAM fulani) sasa kwa hili ulilo FANYA ukamvuruga kabsa.....

hivyo naamini kabsa either RAIS mwenyewe alikuonya au alitumia baadhi ya watu wakuonye ya kuwa usiwe mstari wa mbele kutaka kumwajibisha MAKONDA maana si watu wema wanaolishupalia hili either kupitia MITANDAO..MAGAZETI na REDIO PIA...sasa ndio maana RAIS alivyoona UNAENDELEA NA HII TUME ULIYOUNDA(Na ambayo kwa kiasi kikubwa tume yenyewe ilikuwa si tume ya kumtendea HAKI MAKONDA) NA HATA KUTANGAZA HIYO RIPOTI naamini he was very dissapointed with you NA HATA KUPELEKEA YEYE KUCHUKUA HAYA MAAMUZI....na ndio maana narudia kusema RAIS MAGUFULI hawezi akawa ni MTU asiyeweza au kushindwa kutambua mchango wako kwa CCM...hapa nakataa kabsa.

Nije kwenye hili suala la WEWE kuanza kulishwa maneno kupitia MITANDAONI.
Bro nakuhakikishia kabsa kwa karibu asilimia 90 hakuna MWANA CCM mwenye mapenzi mema na CHAMA CHETU hakathubutu kukubali KUTUMIWA KUKUCHAFUA wewe....WE DO RESPECT YOU A LOT.

Hili la kukuchafua wewe kwa karibu asilimia 100 lipo well enginered na hawa WENZETU wa upande wa PILI kwa minaajili ya KUKUPANIKISHA WEWE NA KUFIKIA MPAKA kuchukua maamuzi MAGUMU JUU YA CCM na kuwafaidisha wao maana wewe ni ASSET zaidi hata ya LOWASSA maana bado ni kijana unaeonekana utakuja kuwa KIONGOZI BORA SANA SIKU ZIJAZO maana nyota njema uonekana ASUBUHI.

SASA ushauri wangu kwako ni huu hapa......u just keep quit WATUMIKIE WANACHI WAKO IPASAVYO na wapiganie WANACHI WOTE WATANZANIA pindi utakapo kuwa BUNGENI na achana kabsa na MIHEMKO usifate MIHEMKO KAMA YA BASHE.....Be like kina KANGI LUGOLA wa enzi hizo au ANNE KILANGO MALECHELA wa enzi hizo au KIGWANGALLA wa kipindi hiko.

Na KINGNE CHA MWISHO usithubutu kuhama CCM we do still need you kwa mustakabali wa CCM ya kesho NA FEATURE YAKO KISIASA wewe ni hazina bora kabsa ndani ya CCM HAKUNA uadui wa kudumu kwenye SIASA we jirudi na kujishusha TRUST me YOU WILL MAKE IT....wewe ni KIONGOZI

La mwisho even IF MAKONDA NDIO SOURCE ya wewe KUWA DROPED OUT kwenye UWAZIRI...kaka yangu NAPE nakuomba sana MSAMEHE. MAKONDA ni mdogo wako kisiasa UKIKUTANA NAE we CHEKA NAE. Hapo ndipo utakapojipatia USHINDI kwa mustakabali wa kesho yako KISIASA.
Pia kumbuka RAIS atabaki kuwa RAIS tu......URAIS ni taasisi kubwa mno i believe hili unalitambua VIZURI.....
MODS nawaomba msiunganishe huu UZI.......
hapo ndio huwa mnakosea nyie kijani, likitokea lolote mnasema katumwa, mnakosea sana, ina maana jamaa anavyotukana watu tena wazima na elimu zao, unavamia kituo na silaha, vyeti feki bado unasema anatumika, aisee mnajiharibia credibility aisee, hivi haya mambo angekuwa amefanya mpinzani nadhani angekuwa marehemu kwa sasa kama sio kufungwa maisha yake yote, tatizo akifanya kijani mko sawa akifanya mpinzani kosa, mtu kasema kaota tu na sio ati ni mpango mumeweka rumande miezi mi4, siku hazigandi huyo katoka, hapa mnakosea sana, sidhani kwa maneno yako kama atamsamehe huyo mtu, na inaonekana mengi anayafahamu, cheo ni dhamana tu, sasa nyie ndio mnaotengeneza visasi, nakumbuka kipindi cha kampeni mlidai kuwa hatutaki siasa za visasi huyu yupo makini, sasa umakini wake upo wapi?
 
Unaunda tume ya kumchunguza mtu ambaye una mamlaka naye ya kumwajibisha.

- Sasa Nape hiyo Report aliyopata alitaka kuipeleka kwa nani ? - Anasema Waziri Mkuu, Makamu wa Rais na Rais UTAFIKIRI Walimwagiza kufanya hivyo wakati tayari RAIS alishaweka msimamo ubungo

Kuna kitu huelewi hapa kuunda kamati ya uchunguzi na kumwajibisha mtu ni vtu viwili tofauti.

Hata bunge huwa linaunga tume ya uchunguzi wa mawaziri lakini halina mamlaka ya kutengua uteuzi wa waziri..kinachofanyika ni kupeleka mapendekezo kwa mamlaka ya uteuzi kama hyo mamlaka ikikubaliana na hayo mapendekezo inachukua hatua isipokubaliana nayo inayatupilia mbali. Refer operation tokomeza na kilichotokea baadaye.

Kwa hyo mkuu wangu Nape ambacho angekifanya kama Wizara angetoa mapendekezo yako kuhusu suala la bashite kwa mamlaka ya uteuzi baada ya hapo angekaa kimya na kusubiria

Kuhusu angeipeleka Wapi ni utaratibu tu kuwa asingeweza kuruka moja kwa moja mpaka kwa rais. Angeipeleka kwa waziri mkuu na waziri mkuu endapo angeona kuna uhuhimu angeipeleka kwa makamu wa rais naye makamu kama angeona kuna umuhimu angeipeleka kwa rais.

Alichokifanya nape sio kigeni kabisa..ishu hapa ni kwamba kamgusa mtoto mpendwa sana.
 
Nakumbuka jambo moja zuri sana alilosema nape naomba nimnukuu " vijana endeleeni kusimamia mnachokiamini, hii ni nchi yetu wote" mwisho wa kunukuu, sasa wewe mzee mimi sikuelewi, kitu gani kimekutisha kwenye ujumbe wa nape

Ukiona wapinzani wanakupigia makofi ujue lipo tatizo...tangu lini UKAWA wakampenda Nape???!!! Lipo tatizo hapo....
 
Bro NAPE kokote ulipo Nathubutu kabsa kusema ya KUWA sisi WAFUASI NA WANACHAMA wa CCM...kamwe hatujarurahishwa na kuondolewa kwa WEWE kwenye UWAZIRI maana to be honest kwa kipindi hicho kifupi ulichokuwa hapo WIZARANI umeitendea haki nafasi yako na ninaamini hata RAIS MAGUFULI HILI KAMWE hawezi pinga....na pia HATA RAIS MAGUFULI kamwe hawezi pinga moja ya WATU WATANO waliofanikisha ushindi wake 2015 wewe ni mmoja wao ya hao watano.

Sasa tuje kwenye suala la kwanini RAIS MAGUFULI amekuondoa kwenye UWAZIRI...kwa hisia zangu naaamini kabsa haujawai pishana kauli wala kutofautiana na RAIS MAGUFULI ila inawezekana HILI SUALA LA MAKONDA NDIO LIMEKUONDOA....sasa limekuondoaje.

Ni hivi...bila kupepesa macho ni kweli kabsa MAKONDA anastahili kuwajibishwa kutokana na hayo makando kando anayotuhumiwa ila tatzo kubwa linalompa RAIS ugumu wa kuchukua MAAMUZI juu ya MAKONDA ni AINA YA WATU WANAOSUKA HUU MPANGO WA KUMTOA MAKONDA si watu sahihi kabsa kwa mustakabali wa nchi yetu na hapa ndipo ambapo naamini kabsa KUPITIA INTELENJIA YA IKULU imekukuta KAKA NAPE UKITUMIKA NA HAO WABAYA WA MAKONDA KUTAKA KUMWAJIBISHA MAKONDA(na ambao si watu wasafi kabsa au watu wema kwenye nchi yetu na napo sema si watu safi nadhani naeleweka vizuri kwenye hili)....NA HII NDIO SABABU KUBWA INAYO MFANYA RAIS MAGUFULI ASHINDWE CHUKUA MAAMUZI JUU YA MAKONDA maana iwapo tu akimwajibisha MAKONDA huu utakuwa ni ushindi mkubwa sana kwa hao WACHAFU.
Kingne inawezekana pia kuwa kuna sababu AWAY FROM this Mzee alikuwa anakulia Timing na ameisha kuchunguza akaona HAUPO upande wake ni miongoni mwa wabaya wake mnaotaka ashindwe kutimiza wajibu wake(Mambo ya TEAM fulani) sasa kwa hili ulilo FANYA ukamvuruga kabsa.....

hivyo naamini kabsa either RAIS mwenyewe alikuonya au alitumia baadhi ya watu wakuonye ya kuwa usiwe mstari wa mbele kutaka kumwajibisha MAKONDA maana si watu wema wanaolishupalia hili either kupitia MITANDAO..MAGAZETI na REDIO PIA...sasa ndio maana RAIS alivyoona UNAENDELEA NA HII TUME ULIYOUNDA(Na ambayo kwa kiasi kikubwa tume yenyewe ilikuwa si tume ya kumtendea HAKI MAKONDA) NA HATA KUTANGAZA HIYO RIPOTI naamini he was very dissapointed with you NA HATA KUPELEKEA YEYE KUCHUKUA HAYA MAAMUZI....na ndio maana narudia kusema RAIS MAGUFULI hawezi akawa ni MTU asiyeweza au kushindwa kutambua mchango wako kwa CCM...hapa nakataa kabsa.

Nije kwenye hili suala la WEWE kuanza kulishwa maneno kupitia MITANDAONI.
Bro nakuhakikishia kabsa kwa karibu asilimia 90 hakuna MWANA CCM mwenye mapenzi mema na CHAMA CHETU hakathubutu kukubali KUTUMIWA KUKUCHAFUA wewe....WE DO RESPECT YOU A LOT.

Hili la kukuchafua wewe kwa karibu asilimia 100 lipo well enginered na hawa WENZETU wa upande wa PILI kwa minaajili ya KUKUPANIKISHA WEWE NA KUFIKIA MPAKA kuchukua maamuzi MAGUMU JUU YA CCM na kuwafaidisha wao maana wewe ni ASSET zaidi hata ya LOWASSA maana bado ni kijana unaeonekana utakuja kuwa KIONGOZI BORA SANA SIKU ZIJAZO maana nyota njema uonekana ASUBUHI.

SASA ushauri wangu kwako ni huu hapa......u just keep quit WATUMIKIE WANACHI WAKO IPASAVYO na wapiganie WANACHI WOTE WATANZANIA pindi utakapo kuwa BUNGENI na achana kabsa na MIHEMKO usifate MIHEMKO KAMA YA BASHE.....Be like kina KANGI LUGOLA wa enzi hizo au ANNE KILANGO MALECHELA wa enzi hizo au KIGWANGALLA wa kipindi hiko.

Na KINGNE CHA MWISHO usithubutu kuhama CCM we do still need you kwa mustakabali wa CCM ya kesho NA FEATURE YAKO KISIASA wewe ni hazina bora kabsa ndani ya CCM HAKUNA uadui wa kudumu kwenye SIASA we jirudi na kujishusha TRUST me YOU WILL MAKE IT....wewe ni KIONGOZI

La mwisho even IF MAKONDA NDIO SOURCE ya wewe KUWA DROPED OUT kwenye UWAZIRI...kaka yangu NAPE nakuomba sana MSAMEHE. MAKONDA ni mdogo wako kisiasa UKIKUTANA NAE we CHEKA NAE. Hapo ndipo utakapojipatia USHINDI kwa mustakabali wa kesho yako KISIASA.
Pia kumbuka RAIS atabaki kuwa RAIS tu......URAIS ni taasisi kubwa mno i believe hili unalitambua VIZURI.....
MODS nawaomba msiunganishe huu UZI.......
Ndugu hujui vipngozi moja yasiraha mliobakiza imara ndani ya ccm ni bashe hapa niwambie bashe nikiongoz bora kwakua wote mnamuogopa rais basi wote mtamponda bashe pole ndugu kwa ufahamu mdogo
 
Makonda pia ni serikali kwanini huyu waziri wa Diamond asimuhoji kwanza Makonda ili ajue kuna nini chini ya kapeti sasa yeye Nape alitaka kufurahisha media tena akizidi kwenda mbali akaunda kamati je hiyo kamati ilimuhoji Makonda?.

Je Nape alimuhoji makonda? Au Nape alimpigia simu Boss wake? Kama jibu ni no nikisema Nape alikuwa na interest zake tafauti na za issue hii
.

.

Watu hawaoni kulikuwa na tatizo hapa

Kuwa NAPE hawezi muuliza au kujadiliana na rais kuhusu hili swala na kawekwa pale na rais????

au NAPE hawezi mpigia Makonda simu kuuliza what happened??

Kibaya , bosi wake aliishaonyesha msimamo wake mapema sana

Makonda aliitwa ikulu jumapili asubuhi ( NAPE anajua)

Magufuli alimtaka Makonda achape kazi wakati taarifa ya uvamizi ishasambaa na actually tulitegema rais amtumbue makonda lakini WAPI!

So ushujaa wa NAPE ungeonekana tu kwa yeye kujiuzulu mapema sana
 
Juzi kwenye mkutano na waandishi wa habari Nape alisema ye alikipigania chama maana kilikuwa kinaanguka..

Ukiangalia kwa umakini yale ni maneno ya kijeuri tu..maana chama kilitaka kufa kutokana na figisufigisu walizokuwa wakiziendesha yeye na mwenyekiti dhidi ya lowasa..

Lakini Nape alikuwa na hiyari ya kukipigania chama cha mapinduzi sababu yeye ni mnufaika wa chama hicho..kwa upande mwingine yeye amenufaika zaidi na chama kuliko chama kunufaika na yeye sababu hata kabla ya yeye chama kilikuwa na watu waliokibeba..isipokuwa ye tunaweza kumsifia kwa kumfubaza lowasa ndani ya chama alipokuwa akishirikiana kufanya kazi hiyo na chadema Nje ya chama..kwa hili anastahili pongezi..

Nape ametajirika sana na kutembea kifua mbele kupitia ccm..nakumbuka juzi nilikuwa naangalia clip alipokuwa kwenye kampeni za urais iringa..
Katika ile clip nape anasema aliingia kwenye mgahawa akakuta wanacheck kampeni za chadema kwenye TV.

Akabet kwa mill 5 kuwa lowasa akiongea dk 15 anawapa hiyo pesa hapo hapo..na akatoa 1 mill kabisa.

Swali; hizi pesa zote za pocket money alikuwa anatoa wapi?? Nje ya ccm au ndani ya ccm..??
Kama pesa zote hizo alikuwa anazipata ndani ya ccm, je kulikuwa na haja ya kulalamika amekisaidia chama?? Maana alipata ujira mwingi na hata kujenga ghorofa ya kisasa kule salasala..

Hiyo ni sawa na wema kujiita kada wa ccm wakati alikuwa anafanya biashara na ccm na alilipwa pesa..
Kwa hili nape akiombe radhi chama.
Wenye chama wameshajitokeza hadharani na kusema Nape, Makamba na Mwigulu ndiyo waliokipigania chama 2015 kisianguke.

Wewe endelea kuleta habari zako za vijiwe vya kahawa hapa.
 
Kosa la Nape ni kwenda kinyume na matakwa na mfalme. Haijalishi kama matakwa ya King Geroge yapo kikatiba au la.

Sasa hivi yeye ndiyo katiba. Alisemalo lazima liwe. Sasa kamuingiza Profesa Wizara ya sheria. Haitachukua miezi Profesa akikuta hadhi imeshuka kiasi cha kufananishwa na mtoto wa chekechea
 
Mi ndio mwenye chama sasa.
 
Bro NAPE kokote ulipo Nathubutu kabsa kusema ya KUWA sisi WAFUASI NA WANACHAMA wa CCM...kamwe hatujarurahishwa na kuondolewa kwa WEWE kwenye UWAZIRI maana to be honest kwa kipindi hicho kifupi ulichokuwa hapo WIZARANI umeitendea haki nafasi yako na ninaamini hata RAIS MAGUFULI HILI KAMWE hawezi pinga....na pia HATA RAIS MAGUFULI kamwe hawezi pinga moja ya WATU WATANO waliofanikisha ushindi wake 2015 wewe ni mmoja wao ya hao watano.

Sasa tuje kwenye suala la kwanini RAIS MAGUFULI amekuondoa kwenye UWAZIRI...kwa hisia zangu naaamini kabsa haujawai pishana kauli wala kutofautiana na RAIS MAGUFULI ila inawezekana HILI SUALA LA MAKONDA NDIO LIMEKUONDOA....sasa limekuondoaje.

Ni hivi...bila kupepesa macho ni kweli kabsa MAKONDA anastahili kuwajibishwa kutokana na hayo makando kando anayotuhumiwa ila tatzo kubwa linalompa RAIS ugumu wa kuchukua MAAMUZI juu ya MAKONDA ni AINA YA WATU WANAOSUKA HUU MPANGO WA KUMTOA MAKONDA si watu sahihi kabsa kwa mustakabali wa nchi yetu na hapa ndipo ambapo naamini kabsa KUPITIA INTELENJIA YA IKULU imekukuta KAKA NAPE UKITUMIKA NA HAO WABAYA WA MAKONDA KUTAKA KUMWAJIBISHA MAKONDA(na ambao si watu wasafi kabsa au watu wema kwenye nchi yetu na napo sema si watu safi nadhani naeleweka vizuri kwenye hili)....NA HII NDIO SABABU KUBWA INAYO MFANYA RAIS MAGUFULI ASHINDWE CHUKUA MAAMUZI JUU YA MAKONDA maana iwapo tu akimwajibisha MAKONDA huu utakuwa ni ushindi mkubwa sana kwa hao WACHAFU.
Kingne inawezekana pia kuwa kuna sababu AWAY FROM this Mzee alikuwa anakulia Timing na ameisha kuchunguza akaona HAUPO upande wake ni miongoni mwa wabaya wake mnaotaka ashindwe kutimiza wajibu wake(Mambo ya TEAM fulani) sasa kwa hili ulilo FANYA ukamvuruga kabsa.....

hivyo naamini kabsa either RAIS mwenyewe alikuonya au alitumia baadhi ya watu wakuonye ya kuwa usiwe mstari wa mbele kutaka kumwajibisha MAKONDA maana si watu wema wanaolishupalia hili either kupitia MITANDAO..MAGAZETI na REDIO PIA...sasa ndio maana RAIS alivyoona UNAENDELEA NA HII TUME ULIYOUNDA(Na ambayo kwa kiasi kikubwa tume yenyewe ilikuwa si tume ya kumtendea HAKI MAKONDA) NA HATA KUTANGAZA HIYO RIPOTI naamini he was very dissapointed with you NA HATA KUPELEKEA YEYE KUCHUKUA HAYA MAAMUZI....na ndio maana narudia kusema RAIS MAGUFULI hawezi akawa ni MTU asiyeweza au kushindwa kutambua mchango wako kwa CCM...hapa nakataa kabsa.

Nije kwenye hili suala la WEWE kuanza kulishwa maneno kupitia MITANDAONI.
Bro nakuhakikishia kabsa kwa karibu asilimia 90 hakuna MWANA CCM mwenye mapenzi mema na CHAMA CHETU hakathubutu kukubali KUTUMIWA KUKUCHAFUA wewe....WE DO RESPECT YOU A LOT.

Hili la kukuchafua wewe kwa karibu asilimia 100 lipo well enginered na hawa WENZETU wa upande wa PILI kwa minaajili ya KUKUPANIKISHA WEWE NA KUFIKIA MPAKA kuchukua maamuzi MAGUMU JUU YA CCM na kuwafaidisha wao maana wewe ni ASSET zaidi hata ya LOWASSA maana bado ni kijana unaeonekana utakuja kuwa KIONGOZI BORA SANA SIKU ZIJAZO maana nyota njema uonekana ASUBUHI.

SASA ushauri wangu kwako ni huu hapa......u just keep quit WATUMIKIE WANACHI WAKO IPASAVYO na wapiganie WANACHI WOTE WATANZANIA pindi utakapo kuwa BUNGENI na achana kabsa na MIHEMKO usifate MIHEMKO KAMA YA BASHE.....Be like kina KANGI LUGOLA wa enzi hizo au ANNE KILANGO MALECHELA wa enzi hizo au KIGWANGALLA wa kipindi hiko.

Na KINGNE CHA MWISHO usithubutu kuhama CCM we do still need you kwa mustakabali wa CCM ya kesho NA FEATURE YAKO KISIASA wewe ni hazina bora kabsa ndani ya CCM HAKUNA uadui wa kudumu kwenye SIASA we jirudi na kujishusha TRUST me YOU WILL MAKE IT....wewe ni KIONGOZI

La mwisho even IF MAKONDA NDIO SOURCE ya wewe KUWA DROPED OUT kwenye UWAZIRI...kaka yangu NAPE nakuomba sana MSAMEHE. MAKONDA ni mdogo wako kisiasa UKIKUTANA NAE we CHEKA NAE. Hapo ndipo utakapojipatia USHINDI kwa mustakabali wa kesho yako KISIASA.
Pia kumbuka RAIS atabaki kuwa RAIS tu......URAIS ni taasisi kubwa mno i believe hili unalitambua VIZURI.....
MODS nawaomba msiunganishe huu UZI.......
Umeandika vzr sana, ila umesahau kua Kati ya watu wachafu maarufu wa sasa makonda ni mmoja wao,tusipepese macho yule kijana ni moja ya aina ya watawala wenye kukatisha tamaa watendaji wa serikali,ana majungu na vijembe kama baba
Ukiachilia mbali uchafu alionao katika kutumia vibaya wadhifa alionao kwa kujikusanyia mali kwa Kipindi kifupi sana, ambazo wapumbavu wachache wanamsifia kwa kuyaita mafanikio
 
Aliyemtishia Nape bastola bila shaka ni msukuma anatetea empire yao isianguke. Ni utani tu jamani msinitoe roho watani zangu wasukuma.
 
Kosa la Nape ni kwenda kinyume na matakwa na mfalme. Haijalishi kama matakwa ya King Geroge yapo kikatiba au la.

Sasa hivi yeye ndiyo katiba. Alisemalo lazima liwe. Sasa kamuingiza Profesa Wizara ya sheria. Haitachukua miezi Profesa akikuta hadhi imeshuka kiasi cha kufananishwa na mtoto wa chekechea

Kwanza Kabisa professor alionyesha udhaifu mkubwa sana kwa ile shukrani aliyotoa kwa shilawadu.

Proffesor mzima unasema eti mm ni nini/nani mpaka sijui muheshimiwa rais ufikirie kunipa wadhifa kama huu. Kweli professor wa sheria unasema wewe ni nani mpaka rais akuteuwe kuwa mbunge then waziri tena wa sheria ambayo ndo ulingo wako wa kujivunia??? Eti akasema usiku wa siku ile akiyoteuliwa ulikuwa mgumu sana kwake...na misemo kibao ya kiswahili.

Hawa ma Dr na ma proff wa tz bwana vichekesho vituko kweli.
 
Kwanza nikupongeze kwa kusimamia kanuni ya Mwana TANU “ Nitasema ukweli daima fitina kwangu mwiko”
Nashukuru kwa kutuambia kinaganga vijana wa Watanzania tuache woga badala yake tusimamie yale yote tunayoyaamini hata kama yatagharimu maisha yetu.

Pili ,Pasipo shaka wewe na Mzee Kinana ndio mliihuisha (reactivate) CCM kwa kutembea kwa miguu,baiskeli au kwa gari hongereni sana kwa uzalendo wenu kwa chama.

Tatu, Naamini kwa sasa umetambua ya kuwa wanainchi hawanachuki na CCM bali mweneyekiti wake.
Nne, Naamini sasa umetambua dhahiri kwamba usalama ni tatizo, Na umeshuhudia watu wanataka kukupiga risasi wewe waziri mstaafu tena kwa masaa tu mbele ya hadhira ya waandishi wa habari bila woga.

Tano, Nikushauri rudi Jimboni kwako nenda kawaulize wapiga kura wako wanataka ufanye nini kwa niaba yao.
Hongera sana na Mungu awe pamoja nawe daima na Karibu sana UKAWA.

Msemakweli ni Mpenzi wa Mungu
Lets give a time time.
 
Back
Top Bottom