Nape: Sijaiona sababu ya Serikali kuchukua fedha zake kuwekeza kwenye miradi mikubwa

dative dogo

Member
Jan 22, 2013
10
90
Leo hii mheshimiwa Nape Nauye ameeleza kwa kina jinsi ambavyo serikali inakosea katika mambo mengi sana, nape anasema Serikali imevaa viatu ambavyo sio saizi yetu. Nimependa sana Uzalendo wa Nape Nauye ... Hebu mtazame hapo chini alivyofunguka kisha toa maoni yako.

Kaongea point sana, ila sasa shida inakuja kwa KOCHA!

Kocha kapanga 4-4-2
Wewe mchezaji unataka 5-4-1,
Kuna Mpira hapo?

Refer kauli hizi;

"Mimi huwa sipangiwi"

"Atakayeleta fyokofyoko kukiona"

"Serikali Yangu"

"Mawaziri wapumbavu"

"Mimi ni dereva wa Lori sisikilizi kelele za watu waliokwenye bodi"

NB; Huwezi Kujiokoa ukianza kuzama, tulia waje wengine wakuokoe, na ukineng'eneka zaidi utameza vikombe vya kutosha.
 
Leo hii mheshimiwa Nape Nauye ameeleza kwa kina jinsi ambavyo serikali inakosea katika mambo mengi sana, nape anasema Serikali imevaa viatu ambavyo sio saizi yetu. Nimependa sana Uzalendo wa Nape Nauye ... Hebu mtazame hapo chini alivyofunguka kisha toa maoni yako

Mh. Katema dhahabu ktk mchango wake, Hebu Serikali ihuchukue ushauri huu. Itengeneze mazingira mazuri kwa wawekezaji,ili sisi tuje tufaidi kodi zitakazotokana na uwekezaji husika.
 
Inahitaji akili ya mwendawazimu kushangilia hawa watetea matumbo kwani wawapo ndani ya serikali wanakuwa watu wa kuunga mkono kila jambo hata kama anajua kuwa linakandamiza wanananchi.

Jamaa uyu huyu alizima bunge live, kashiriki kufungia magazeti ila leo ndo anadai "serikali imevaa viatu visivyo vyake" maajabu ya rejected material haya.
 
Kaongea point sana, ila sasa shida inakuja kwa KOCHA!

Kocha kapanga 4-4-2
Wewe mchezaji unataka 5-4-1,
Kuna Mpira hapo?

Refer kauli hizi;

"Mimi huwa sipangiwi"

"Atakayeleta fyokofyoko kukiona"

"Serikali Yangu"

"Mawaziri wapumbavu"

"Mimi ni dereva wa Lori sisikilizi kelele za watu waliokwenye bodi"

NB; Huwezi Kujiokoa ukianza kuzama, tulia waje wengine wakuokoe, na ukineng'eneka zaidi utameza vikombe vya kutosha.
Usinijibu mimi hivyo wewe!

Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
 
Inahitaji akili ya mwendawazimu kushangilia hawa watetea matumbo kwani wawapo ndani ya serikali wanakuwa watu wa kuunga mkono kila jambo hata kama anajua kuwa linakandamiza wanananchi.
Jamaa uyu huyu alizima bunge live, kashiriki kufungia magazeti ila leo ndo anadai "serikali imevaa viatu visivyo vyake" maajabu ya rejected material haya.
Umesahau na bao la mkono.. Mchezo alioufanya yeye na Makamba kwenye IT department yao na wale hackers wao ndiyo imetuletea haya yote.
 
Leo hii mheshimiwa Nape Nauye ameeleza kwa kina jinsi ambavyo serikali inakosea katika mambo mengi sana, nape anasema Serikali imevaa viatu ambavyo sio saizi yetu. Nimependa sana Uzalendo wa Nape Nauye ... Hebu mtazame hapo chini alivyofunguka kisha toa maoni yako

Mpaka mtumbuliwe ndiyo mnazungumza sense!!
 
Kaongea point sana, ila sasa shida inakuja kwa KOCHA!

Kocha kapanga 4-4-2
Wewe mchezaji unataka 5-4-1,
Kuna Mpira hapo?

Refer kauli hizi;

"Mimi huwa sipangiwi"

"Atakayeleta fyokofyoko kukiona"

"Serikali Yangu"

"Mawaziri wapumbavu"

"Mimi ni dereva wa Lori sisikilizi kelele za watu waliokwenye bodi"

NB; Huwezi Kujiokoa ukianza kuzama, tulia waje wengine wakuokoe, na ukineng'eneka zaidi utameza vikombe vya kutosha.
"Huwezi kuniandikia hivo mimi"
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom