May Day
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 6,162
- 8,820
Mwanasiasa akishiba yeye anahesabu na Wananchi wote wameshiba.Hizi hela zimemwagikia mtaa upi iliwanainchi tukaokote ilihali mfuko wa mbolea haukamatiki kwa mkulima mlala hoi??
Mwanasiasa akishiba yeye anahesabu na Wananchi wote wameshiba.Hizi hela zimemwagikia mtaa upi iliwanainchi tukaokote ilihali mfuko wa mbolea haukamatiki kwa mkulima mlala hoi??
Yaaaniiii yule mzeee sikumuelewaga sijui ndio kujikombaaaa.....duuuuuuuTuliwanyoosha wahuni kama yule
Mama atawale maisha yake yote
Imeisha hiyo
Nape hapati cheo hata akimsifia vipi Rais. Nape anatapatapa na ni mpiga magoti mzuri, lakini ni mnafiki sana na ni wa kuogopwa.Je Kauli Ya Nape Ni Ya Kweli Kwamba Vyuma Vilikaza Na Sasa Vimeachia?
Kweli vimelegea nyama imeshuka bei kutoka 6000 kwa kg Hadi 8000 kwa kg
Mafuta ya aina yote bei imeshuka Sana kuliko miaka yote hongera sana kwake
Kabisa kabisa...ajira nyingi zimemwagwa mitaani na hamtawaona wamachinga kwani wamewekewa utaratibu...mishahara ya watumishi wote serikalini inalipwa kwa wakatiJe Kauli Ya Nape Ni Ya Kweli Kwamba Vyuma Vilikaza Na Sasa Vimeachia?
Kweli vimelegea nyama imeshuka bei kutoka 6000 kwa kg Hadi 8000 kwa kg
Mafuta ya aina yote bei imeshuka Sana kuliko miaka yote hongera sana kwake
Haipo! 'Mkuu wa kazi' keshasema kuwa hii sio pipi ambayo kila mtoto anatakiwa apate!Hivyi hakuna njia nyingine ya kutafuta teuzi...
Haha mikumi mbuga ya wanyama au mikumi nini ???
Hha kuna watu wamechangia hapo juu wamesema chifu hangaya asitoke IKULU YAWE MAKAZI YAKE YA KUDUMU MAAANA AKIONDOKA TU VYUMA VITAKAZA TENA WW WALIONAJE KIJANA WA JANMitano+mitano
Hha kuna watu wamechangia hapo juu wamesema chifu hangaya asitoke IKULU YAWE MAKAZI YAKE YA KUDUMU MAAANA AKIONDOKA TU VYUMA VITAKAZA TENA WW WALIONAJE KIJANA WA JAN
Mwache huyo anatafuta uteuziJe Kauli Ya Nape Ni Ya Kweli Kwamba Vyuma Vilikaza Na Sasa Vimeachia?
Kweli vimelegea nyama imeshuka bei kutoka 6000 kwa kg Hadi 8000 kwa kg
Mafuta ya aina yote bei imeshuka Sana kuliko miaka yote hongera sana kwake
Absolutely MkuuHuyo kiazi hajui kwamba hizo pesa anazodai zipo kitaa zipo mikononi mwa mabwanyenye wachache walio kwenye mgao wa tozo na pesa ya mkopo wa IMF.......unawezaje kuingiza pesa kwenye mzunguko kwa kulipana watu wachache kiujanja ujanja badala ya kuweka ruzuku kwenye pembejeo za kilimo na kuwaongezea watumishi mishahara na kuwapa malimbikizo yao. Kwa sababu hii serikali ya maigizo haina control kwenye bei za bidhaa kwa sasa kutokana na kuvurugika kwa hali ya uchumi wa dunia tarajia hiyo nondo kufika elf 50 hadi mwishoni mwa mwaka huu..
Kwa kweli hii ni kejeli kubwa sana kwa ss wanyonge.sasa hivi watu tumeshindwa kula nyama,samaki ndo kabisa,pesa haina thamani kutokana na tozo kuwa nyingi kwenye mafuta halafu mtu from nowhere anasema vyuma vimelegea!kwa kweli wanasiasa wa namna wanapaswa kutorudi tena bungeni ili wote tukutane huku kitaa.Nape anasema sasa hivi mtaani watu wanafurahi maana hela zimewagika na mama kaweka hela nyingi kila mtu ana sherekea tofauti na kipindi kilichopita maana vyuma vilikuwa vimekaza.
Ni kweli hela zimewagika mtaani wana JF?
Nape ampa tano Rais Samia
-
Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye amesema, Rais Samia Suluhu anafanya kazi vizuri.
“Kuna wakati tulisema vyuma vimekaza, mama amelegeza sana, akimaliza hii miaka mitano, tumuongeze na mingine mitano 2025 atupeleke mpaka 2030," amesema Nape.
Wasipodhibiti mfumko wa bei kwenye bidhaa za Ujenzi huenda likafanya hata gharama za kupanga pia zikapandaSementi 20,000 bati za ragi 45000 sasa hivi kjjenga ni gharama kubwa
Tuongelee na tozo basi ,sio tunasifia upande mmoja tu wa shiringa, Nape ni mchumia tumbo tu hana kitu.Je Kauli Ya Nape Ni Ya Kweli Kwamba Vyuma Vilikaza Na Sasa Vimeachia?
Kweli vimelegea nyama imeshuka bei kutoka 6000 kwa kg Hadi 8000 kwa kg
Mafuta ya aina yote bei imeshuka Sana kuliko miaka yote hongera sana kwake
Walonga Chindedi ni Kilugha gani Mkuu, na vipi maana yake? Kweli kibantu kigumu hapo nimeelewa neno Walonga tu ambayo ni "Umesema"😃🙌Kongole mkuu, walonga chindedi
Ameambiawa ili apate uwaziri lazima arambe rambe shombo la Feri, muache.Kuna watu wanajua kujipendekeza hadi wanatia kinyaa