Tinde nsalala
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 248
- 253
Mapema Leo mh Nape amezungumzia juu ya kile alokiita 'ama kupotoshwa au kutafisiliwa isivyo maana ya maneno anayoyandika ktk mitandao ya kijamii.
Kwangu mm naona mh huyu ameanza kuuogopa ukweli wake auaminio.Ktk maisha wanadamu huwa nyakati zingine tunajawa na hofu ambazo wala hazina maana yeyote!Nape simamia ukweli wa ndani ya roho yako.Dumu ktk kuipa roho yako kile ikitakacho.
Nape kumbuka nafsi yako itakulilia milele utapoiasi!Zaidi itakulilia kwa mile kwalo ww huitendei haki.Kumbuka namna ulivyopambana ww na komredi Kinana kwa namna mlivyohangaika usiku na mchana kukisafisha chama ambacho leo tena kimeingizwa ktk majaribu makubwa na watu ambao hata chembe ya namna mlivyopambania chama hawakuwa hata mwishoni mwa mstari!Watu wasio na hata chembe ya uvumilivu!Wapenda SIFA na waliojaa majivuno!
Pambana brother na dumu ktk kile moyo wako unataka.