chakii JF-Expert Member Sep 15, 2013 19,689 22,703 Dec 9, 2013 #1 Habari Wakuu,. Hivi Huyu Jamaa Mbali Na Kuwa katibu Wa Nec Itikadi Siasa Na Uenezi Ana Vyeo Gani Vingine Ndani Ya Ccm Au Yeye Ndiyo Kila Kitu Ndani Ya Ccm!! Mods Naomba Msiutoe Huu Uzi Nahitaji Kujua!!
Habari Wakuu,. Hivi Huyu Jamaa Mbali Na Kuwa katibu Wa Nec Itikadi Siasa Na Uenezi Ana Vyeo Gani Vingine Ndani Ya Ccm Au Yeye Ndiyo Kila Kitu Ndani Ya Ccm!! Mods Naomba Msiutoe Huu Uzi Nahitaji Kujua!!
chakii JF-Expert Member Sep 15, 2013 19,689 22,703 Dec 9, 2013 Thread starter #3 Molembe said: weka picha. Click to expand... unataka picha ya,....
Mzee wa Rula JF-Expert Member Oct 6, 2010 8,171 3,346 Dec 9, 2013 #5 Nape ndiyo kama mkuu wa kaya hapo Lumumba tehe tehe
Leomimi JF-Expert Member May 20, 2013 2,547 864 Dec 9, 2013 #8 Naona leo idiot day. CRICKET said: Picha ya nini we idiot? Click to expand...
M mahakama ya kazi JF-Expert Member Feb 20, 2013 1,520 240 Dec 9, 2013 #9 ccm imeoza,haina wasemaji maalum
chakii JF-Expert Member Sep 15, 2013 19,689 22,703 Dec 9, 2013 Thread starter #10 mahakama ya kazi said: ccm imeoza,haina wasemaji maalum Click to expand... kweli inasikitisha sana chama kikongwe kama hiki kukosa uwajibikaji kila mtu kwa nafasi yake,.
mahakama ya kazi said: ccm imeoza,haina wasemaji maalum Click to expand... kweli inasikitisha sana chama kikongwe kama hiki kukosa uwajibikaji kila mtu kwa nafasi yake,.