Nape Nnauye: Rais Samia Suluhu aendelee mpaka 2030

Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameanza vizuri kwa kutoa maagizo yanayoliondoa Taifa kwenye kutumia mabavu na kujielekeza kwenye kutumia akili katika ukusanyaji kodi bila kuathiri walipakodi.
Waache nyege
 
Kinachomuumiza kichwa Nape ni kuwa haelewi hivi yeye anakosea wapi hata asizipate fursa anazozipata chawa mwezake, Mwigulu Nchemba?
 
Nape nimnafiki sana, akamgeuka mzee wake Membe aliyekuwa akimpinga huyo muzee wamabavu aliyepora watu pesa ili kujengajenga!!
Alikiburuza ndambi makilomita kwenda omba msamaha shujaa ni Kinana aliyesema tuu naamini yamekwisha!!
 
Mwambieni huyo Chalii mada iliyopo mezani kwa sasa ni KATIBA MPYA na TUME HURU YA UCHAGUZI. Hayo mapambio yake mengine atembee nayo kwa mguu kwenda ikulu kama alivyofanya awamu iliyopita akamweleze mwenye awamu hii.
 

Yuda aliewachoma wenzake na kufukuzwa chama chini ya utawala wa JPM ilimradi atetee kitumbua chake.


Huyu jamaa si wakuaminika hata kidogo. Alipinga taratibu za uwekezaji pale jengo la vijana alipopatiwa apartment akatulia.

Nape hawezi kuupenda utawala uliopita baada ya kulazimishwa kurejesha Toyota V8, Cruiser mkonga na fusso mali za chama alizojimilikisha kihuni yeye na genge lake.

Ndugu zangu chini ya huo utawala aliousema wa mabavu huyu ndie alietoka na tamko kinywani kwake kupiga marufuku bunge live. Hapa alipenda cheo kuliko hatma ya kesho.

Mama Samia muangalie kwa jicho la umakini huyu mnyakyusa wa Busekelo. Ni sigara kali inayowashwa mbele na nyuma.

Hawa ni vijana hatari waliowahi kuamini wa katika nyadhifa mbali mbali za chama na serikalini lakini wasioridhika na walichopatiwa.
 
Mama awe makini na hizi kenge watamwingiza mkenge asicheke nao kabisaaa, Nape na January siyo wa kuwasogelea wale ni wapenda madaraka asikwambie mtu, 2025 hata kwenye ubunge piga chini.Yanaanza kumsifu,siku si nyingi yataanza kumponda tena hata iwe indirect.
 
Hatimae maGazeti yameanza tena kuwa vyombo vya habari badala ya vyombo vya sifa...!!
 
Legacy hailiwi. Unadhani familia yake itakula legacy. Kumbuka siasa ni ajira na huwezi kuchezea ajira. Hata upinzani hawatafuti legacy bali ajira, wanapoipata ajira kama ubunge wanatakiwa kuishikilia vizuri.
Wapo individuals ambao hawajawahi kutoka nje ya mstari wa kile wanachokiamini... consistency.Sio leo unaomba msamaha kwa kuwa na msimamo Halafu kesho unaurudia msimamo ambao uliuombea msamaha!

Halafu hapa tunaongelea jinsi gani watu wanapaswa kuwa na msimamo na matter what..no matter against who....Just simamia unachokiamini...

Ukiniambia kuhusu kula nitakudharau Sana.Kwamba upo tayari hata kushika ukuta Ili ule tu?Ukiwa mtu mwenye mawazo kama hayo huwezi kuelewa kuhusu principles and legacy.Huwezi kuelewa kwa nini akina Mandela,Nyerere,Malcom X,Martin Luther nk. .ni watu muhimu duniani na majina yao yataimbwa vizazi na vizazi...
 
Sijaona quote ya Nape kusema haya kwenye hii habari..
Kama kweli amesema basi kuwa ccm ni lazima uwe na akili mbovu
 
Wapo individuals ambao hawajawahi kutoka nje ya mstari wa kile wanachokiamini... consistency.Sio leo unaomba msamaha kwa kuwa na msimamo Halafu kesho unaurudia msimamo ambao uliuombea msamaha!....
Legacy ni kwa washangiliaji. Wewe umeajiriwa na unafuata unayoambiwa na bosi katika mwelekeo wa kazi. Hayo ya kuinamishwa siyo sehemu ya utaratibu wa kazi. Labda wewe utueleze huko uliko mnafanya hivyo. Hata hivyo, kama ni raha zao kuinamishwa wewe inakuhusu nini au unaona wivu!
 
Legacy ni kwa washangiliaji. Wewe umeajiriwa na unafuata unayoambiwa na bosi katika mwelekeo wa kazi. Hayo ya kuinamishwasiyo sehemu ya uataratibu wa kazi. Lbda wewe utueleze huko uliko mnafanya hivyo. Hata hivyo, kama ni raka zao kuinamishwa wewe inakuhusu nin

Legacy ni kwa washangiliaji. Wewe umeajiriwa na unafuata unayoambiwa na bosi katika mwelekeo wa kazi. Hayo ya kuinamishwasiyo sehemu ya uataratibu wa kazi. Lbda wewe utueleze huko uliko mnafanya hivyo. Hata hivyo, kama ni raka zao kuinamishwa wewe inakuhusu nini!
Sikujua kama najadili na mtu mwenye uelewa wa aina hii yako.Itoshe kusema kwaheri....
 
Hivi kama ya JPM ya kuongeza muda mpaka shindwe ingepita, na mwenyezi Mungu akaamua kutompenda, akamuacha miaka kama 30 hivi, mama Samia ambaye sasa tunasema akae mpaka 2030 hayo tunayomsifia nayo tungeyaona wapi? Ni naona tunao watu potential sana Tanzania, muhimu ni kuwa na utamaduni mzuri wa kupokezana madaraka. Habari ya kurithishana tutasahau kabisa.
 
Back
Top Bottom