Nape Nnauye: Unawezaje kumtaarifu Muuza Dawa za Kulevya kuwa unataka kumkamata?

Wameshupaza Shingo..... wacha tuone mwisho wake maana wanajiita wanasimamia haki za wanyonge. Ila haya maisha ni mzunguko..... hizi habari zimenifanya nikumbuke na msemo alioniambia baba yangu......... "Mbuzi hakuona thamani ya mkia wake hadi pale ulipo katika" Tusubiri tuone kwanza..... Maana ametutoa kwenye hoja ya msingi ya matokeo mabovu ya mkoa wa Dar es Salaam.
 
nape mnafiki tu kama idea yake mbona siku zote hatukumsikia? kama shisha idea yake mbona hatukumsikia? kama bungen mara ngap kaenda hana halichosema...?? Nape hasitake sifa ...makonda amefanya kaz nzuri amejtoa muhanga...kama yapo makosa kumtaja mtu yanarekebishwa tu ...ila kusema n idea ya nape nakataaaa n muongo uyo..mm aknambia n adea yake kukamata dvd feki za bongo movie nitakubali....hv nape amekaaa katibu wa ccm miaka mingap alkuwa na ngugu kubwa ya kisiasa wakat ule mbona hakuropokwa madawa??? aende zake
 
Asante sana Nape....naamini serikali hii bado ina watu wanajitambua. Mungu atusaidie tusonge mbele.
 
Leo nape mzuri kwenu??? Ha ha ha haki ya mungu ishi Tanzania ujionee maajabu ya watanzania,,, kauli zilizomfanya nape kuchukiwa na ukawa
(1) goli LA mkono-iliwatoa povu sana wapinzani wa nchi hii
(2)tumesitisha kurushwa kwa matangazo ya moja kwa moja ya vikao vya bunge-hapa mpka maandano walitishia kuandamana..

Kirefu cha TFF- aaaah wazir hajua kirefu cha tff huu ni mzigo, na ndio atakua wa kwanza kutimuliwa na rais.

Kauli iliyofuta yte....mabaya yake
Kumuharibia msanii brand yake kisa unamtangaza anatumia au kuuza unga sio jambo jema,,, ha ha ha ha ha hapa yooooooote wamemsafisha wenyewe... Duh nyie ni hatar kabsa

Jifunzen kukuna panapowasha hasa ukiwa na kucha
 
Nape kaongea kama kiongozi makini. Hakika ameweka unafiki wa kichama pembeni, amempinga Bashita waziwazi.
Asante Nape endelea kubaki na fahamu zako kwani kuna kipindi unajivua ufahamu kutetea chama
Mtu makini asingefanya hivi. Nape ni waziri wa serikali hii. Si busara kupingana na serikali anayoifanyia kazi yeye mwenyewe. Yeye na makonda na wenzao ni organ kama za mwili. Mkono wa kushoto ukikosea jicho haliwezi kuwa tofauti maana vyote vinafanya kazi moja. Alichofanya ni kuonyesha chuki ya moja kwa moja kwa RC na pia kumdhalilisha aliemteua. Ni dharau na Nape anatakiwa ajiuzuru mara moja.
 
Nape sioni kama anahoja yamsingi,yeye amefanya jitihada gani kupambana na watu hawa ndiyo kwanza anapambana na Paul.anasabab gani kwenda kuliongelea hili yeye ninan?
 
Nape anajikaanga
1. Big insubordination kumlaumu mtendaji aliyekuwa chini yako kwenye line of authority..... Kichwa kuulaumu mkono
Mko serikali moja Nape kaeni chemba umuonye dogo kama watu wazima
2. Beef na Makonda linamshusha kwakuwa Nape is more senior na Makonda is nothing compared to Nape.
3. Tatizo la madawa lipo yeye alijaribu kufanya nini better than what stupid Makonda did?
4. Kutajwa kwenye clips za akina Steve Nyerere pamoja na ukaribu wake na akina Ubaya/Wema ni jipu.
5. Kumpinga mjukuu wa babu (mdekezwa makond) itamgharimu.
6. Mkuu wa ichi alimsapoti manenepa/makonda sasa yeye ni kama anapingana na mkuu wa nchi.
7. Utendaji wake Nape hauendani na kasi ya JPM bado yuko kwenye cool and nice JK zone
8. Huu sio utawala wa kutumia vyombo vya habari kuiponda serikali ama utendaji ataitwa msaliti.
Maoni yangu tu I might be wrong ila kadi nyekundu inaweza kumfuata
Bora wapingane ili tupate Tanzania tunayoitaka.kwani hakuna lisilowezekana chini ya jua.
 
Leo nape mzuri kwenu??? Ha ha ha haki ya mungu ishi Tanzania ujionee maajabu ya watanzania,,, kauli zilizomfanya nape kuchukiwa na ukawa
(1) goli LA mkono-iliwatoa povu sana wapinzani wa nchi hii
(2)tumesitisha kurushwa kwa matangazo ya moja kwa moja ya vikao vya bunge-hapa mpka maandano walitishia kuandamana..

Kirefu cha TFF- aaaah wazir hajua kirefu cha tff huu ni mzigo, na ndio atakua wa kwanza kutimuliwa na rais.

Kauli iliyofuta yte....mabaya yake
Kumuharibia msanii brand yake kisa unamtangaza anatumia au kuuza unga sio jambo jema,,, ha ha ha ha ha hapa yooooooote wamemsafisha wenyewe... Duh nyie ni hatar kabsa

Jifunzen kukuna panapowasha hasa ukiwa na kucha
Naiona tofauti ya Nape katibu mwenezi wa CCM na Nape mmoja wa mawaziri katika serikali ya awamu ya tano. Wasiwasi wangu ni kuwa sina uhakika sana kama mteuzi wake wakati akimteua alitaka pawe na hiyo tofauti!
 
bwana makonda naona kila mahali kumekuwa kubaya lukuvi nae kaamsha bado hakujapoa da noma sna

tatizo hakuwa na busara kwenye hili jambo kumtangaza mtu wa madawa ya kulevya unampa siku nne aende kituo cha polisi akifika unarud kwake kumkagua hivi hili limekaaje kwa haya mambo yanafanywa na mtu asie na akili ina maana hata siro alishindwa kung'amua huo ujinga huko ccp alisomea nini siro?
 
Kaongea kama mpumbavu wa kawaida. Mtu makini asingefanya hivi. Nape ni waziri wa serikali hii. Si busara kupingana na serikali anayoifanyia kazi yeye mwenyewe. Yeye na makonda na wenzao ni organ kama za mwili. Mkono wa kushoto ukikosea jicho haliwezi kuwa tofauti maana vyote vinafanya kazi moja. Alichofanya ni kuonyesha chuki ya moja kwa moja kwa RC na pia kumdhalilisha aliemteua. Ni dharau na Nape anatakiwa ajiuzuru mara moja.
Uko sahihi sana kuwa serikali inapaswa kuwa TIMU, kuwa wanaweza kukubaliana kwa kutokukubaliana. Lakini awamu hii itawapoteza wengi wazuri ikiwa atacheza kama timu na mwisho wa siku unatumbuliwa, hivyo umefika wakati kila mtu kuilinda taswira yake katika jamii kwa ajili ya kesho.
Ukimbeba Magu ni hasara sana kwani mwisho wa siku atakuumbua hadhatani cc Lukuvi.
 
Kaachana na Uvuvuzela eeeeee
Yu no wot, zat dei Mtaja Majina alivyotaja majina, Mteuzi alikuwa upande wake na ndio maana siku ya kuapisha Wateuliwa alimsifia Mtaja Majina ikiwa ni dalili ya kumuunga mkono kwa NIA na NJIA.

Mfungia Mazageti yeye kasema anaunga mkono NIA lakini NJIA akaikosoa. Ikiwa leo tunaamini kuwa kweli NJIA ilikuwa fyongo, basi tupo uapnde wa Mfungia Mazageti na sio Mteuzi.
 
Bavicha wamechanganyikiwa mpaka Nape amekuwa kama shujaa wao.Kuna watu walimuita vuvuzela,leo wanamsifia,Bavicha mnagua ugonjwa gani?
Unataka tusimsifie hata kama kaongea jambo la maana? Hizi akili za ndio mzee kila kitu zipo ccm tu wengine huku tunajitambua
 
Back
Top Bottom