Nape Nnauye: Unawezaje kumtaarifu Muuza Dawa za Kulevya kuwa unataka kumkamata?

Nape anajikaanga
1. Big insubordination kumlaumu mtendaji aliyekuwa chini yako kwenye line of authority..... Kichwa kuulaumu mkono
Mko serikali moja Nape kaeni chemba umuonye dogo kama watu wazima
2. Beef na Makonda linamshusha kwakuwa Nape is more senior na Makonda is nothing compared to Nape.
3. Tatizo la madawa lipo yeye alijaribu kufanya nini better than what stupid Makonda did?
4. Kutajwa kwenye clips za akina Steve Nyerere pamoja na ukaribu wake na akina Ubaya/Wema ni jipu.
5. Kumpinga mjukuu wa babu (mdekezwa makond) itamgharimu.
6. Mkuu wa ichi alimsapoti manenepa/makonda sasa yeye ni kama anapingana na mkuu wa nchi.
7. Utendaji wake Nape hauendani na kasi ya JPM bado yuko kwenye cool and nice JK zone
8. Huu sio utawala wa kutumia vyombo vya habari kuiponda serikali ama utendaji ataitwa msaliti.
Maoni yangu tu I might be wrong ila kadi nyekundu inaweza kumfuata

Kuna mtazamo sahihi hapo kwa baadhi ya points, ila nape hachumii tumbo hahaha
 
Hapana RC alikuwa very right. Hawa watu ni kuwaanika ili waache. Ukienda chini kwa chini huwezi kushinda watakuumiza na hidden networks zao zilizoimara. Alichofanya ni kumtaarifu kila mmoja wetu kuwa hawa ni wale walio na mtandao uliosababisha ndugu zetu wanyongwe nje!

Alikuwa na ushahidi??Au ushahidi anautafuta baada ya kutuhumu??Kweli unaakili kama za Daudi Bashite
 
Hapo ndo utafahamu ya kuwa utahini wa NECTA haokosei, ukiwa critical thinker utajua jinsi ya kupambana
 
Nape kwa Magufuli ni kama keshajiondoa mwenyewe serikalini. Anasubiri tu kipyenga cha muamuzi!
 
Duh kumbe sio peke yangu!
Hongera Makonda, alikosekana MTU wa kulianzisha hili jambo.

Tumekaa nalo miaka nenda rudi kila kiongozi anaruka ruka tu.

Makonda songs mbele uthubutu wako wake umesaidia wengi kuliko walioathirika kwa the said wrong approach.
 
chadema ni kama wale wanaoenda kwenye malumbano ya dini wanachukua msitari mmoja wa biblia wanaanza kuujengea hoja badala ya kusoma kitabu chote na kuelewa
 
"Samaki aliyefunga mdomo wake kamwe hawezi kunaswa na ndoano ya mvuvi. Jifunze kufunga mdomo unapokuwa katikati ya wabaya wako"-Waziri wa Habari,Sanaa na Utamaduni Mhe. Nape Nnauye - Oktoba 11, 2016


Hii kauli nimeipenda sana na nimejifunza kitu.

Amejifunza hili toka kwa Rafiki wa Marehemu Baba yake anaitwa Jakaya Kikwete!
 
Hii ishu ya madawa naona Makonda amegusa maslahi ya watu
Ile ni biashara na burudani ya watu kwa hiyo ni maslahi ya watu yameguswa, swala ni mbinu mbovu aliyoichagua kuitumia Bashite!
 
Back
Top Bottom