Nape Nnauye: Unawezaje kumtaarifu Muuza Dawa za Kulevya kuwa unataka kumkamata?

LOTH HEMA

JF-Expert Member
Dec 6, 2015
13,114
17,741
Nape yupo hewani kwenye kipindi cha dak45 cha ITV. Swali la kwanza kaulizwa kuhusu ile kauli yake
ya kupinga utaratibu uliotumiwa na makonda kuwataja wauza madawa ya kulevya.

==========

Habari Zaidi

Wadau waziri nape yupo hapa anahojiwa na sam mahela itv.

Ila naona amempinga wazi wazi mkuu wa mkoa na mbinu yake ya kupambana na madawa ya kulevya, amesema unawezaje kumtaarifu mtu kuwa unataka kumkamata? Amesema kuwa mbinu iliyotumika ndio imevuruga vita yenyewe. Amesema huwezi kwenda kuwinda halafu unapiga risasi juu, wanyama watakimbia.

Pia amesema Hii idea ya kupambana na dawa za kulevya aliianzisha yeye na alikuwa nayo na alikuwa anapanga kuipeleka bungeni. Pia idea ya shisha alikuwa nayo yeye kuizuia. .

Ni hayo tu wadau

Nape amenifurahisha sana.

Kwa kweli Makonda Alikurupuka sana. Yaani nazidi kuamini haya yanayosemwa kumhusu

Alamsiki

Tazama Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo, Mhe. Nape Nnauye alivyozungumzia utaratibu unaotumika kukamata wauzaji na watumiaji dawa za kulevya, na kufafanua kauli ambayo aliitoa na kutafsirwa tofauti ana fafanua hapa.
 
"Samaki aliyefunga mdomo wake kamwe hawezi kunaswa na ndoano ya mvuvi. Jifunze kufunga mdomo unapokuwa katikati ya wabaya wako"-Waziri wa Habari,Sanaa na Utamaduni Mhe. Nape Nnauye - Oktoba 11, 2016

Hii kauli nimeipenda sana na nimejifunza kitu.
 
Wadau waziri nape yupo hapa anahojiwa na sam mahela itv.

Ila naona amempinga wazi wazi mkuu wa mkoa na mbinu yake ya kupambana na madawa ya kulevya, amesema unawezaje kumtaarifu mtu kuwa unataka kumkamata? Amesema kuwa mbinu iliyotumika ndio imevuruga vita yenyewe. Amesema huwezi kwenda kuwinda halafu unapiga risasi juu, wanyama watakimbia.

Pia amesema Hii idea ya kupambana na dawa za kulevya aliianzisha yeye na alikuwa nayo na alikuwa anapanga kuipeleka bungeni. Pia idea ya shisha alikuwa nayo yeye kuizuia. .

Ni hayo tu wadau

Nape amenifurahisha sana.

Kwa kweli Bwana DAIDI BASHITE Alikurupuka sana. Yaani nazidi kuamini haya yanayosemwa kumhusu bwana DAUDI..

Alamsik

1fe18f7e642773427357a51bad03d7bd.jpg

03327b3b2d410e690955a9da1ff32d47.jpg
 
Back
Top Bottom