Nape Nnauye: Ningependa bunge liwe live wananchi waone mijadala

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
48,771
102,124
Nape Nnauye alikuwa mmoja kati ya panel iliyokuwa ikijadili mwelekeo wa serikali ya Rais Samia, akiwa pamoja na Dr. Marcus pale Azam Tv.

Nape alitakiwa kujibu shutuma ya Dr.Marcus kuwa yeye Nape ni moja ya watu waliokuwa mstari wa mbele kukandamiza upatikanaji wa habari kwa kuanzisha sheria ya vyombo vya habari na bunge live.

Nape amejibu kwamba lile lilikuwa jambo la bunge sio yeye. Akaongeza hata yeye angependa bunge liwe live ili wananchi waone mijadala ya wabunge.

My Take 1
Kumekucha ndugu msomaji,hii ni kabla jogoo hajawika.

My Take 2
Hatimaye media zimepumua,tulishakosa mijadala kama hii. Uoga uliwajaa
 
Akiulizwa na Dr. Marcus Albanie kwenye kipindi cha channel ya UTV, kwamba kwanini asiombe radhi kwa wananchi kwa kushiriki kwake kuzui bunge Live. Mh. Nape amesema sio kosa lake, bali ni sheria za bunge na anatamani bunge lirushwe live ikiwemo kamati za bunge ambako ndo kuna mijadara mikali.

20210404_213439.jpg
 
Nape Nnauye alikuwa mmoja kati ya panel iliyokuwa ikijadili mwelekeo wa serikali ya Rais Samia, akiwa pamoja na Dr. Marcus pale Azam Tv.

Nape alitakiwa kujibu shutuma ya Dr.Marcus kuwa yeye Nape ni moja ya watu waliokuwa mstari wa mbele kukandamiza upatikanaji wa habari kwa kuanzisha sheria ya vyombo vya habari na bunge live.

Nape amejibu kwamba lile lilikuwa jambo la bunge sio yeye. Akaongeza hata yeye angependa bunge liwe live ili wananchi waone mijadala ya wabunge.

My Take
Kumekucha ndugu msomaji,hii ni kabla jogoo hajawika
Tutaona na kusikia mengi sana hadi 40 ya mwendazake itimie
 
Akiulizwa na Dr. Marcus Albanie kwenye kipindi cha channel ya UTV, kwamba kwanini asiombe radhi kwa wananchi kwa kushiriki kwake kuzui bunge Live. Mh. Nape amesema sio kosa lake, bali ni sheria za bunge na anatamani bunge lirushwe live ikiwemo kamati za bunge ambako ndo kuna mijadara mikaliView attachment 1743492
Hizi panya zimeanza kubweka kila kona mpaka zinakera masikio
 
Mnhh..
😂😂😂😂😂😂
...wacha tuendelee shuhudia mtanangee...

Nchi hii!!!?
 
Yaani hawa wanaompinga Hayati ilhali walikuwa wakimsupport siwaelewi yaani.

Hapa ni kutaka kuonyesha wana uchungu na raia, wakati nyuma wameshika mkuki wa sumu.

Acheni Unafiki Jamani. Kwanini hukuyasema haya wakati wa utawala wa awamu ya tano?
 
Akiulizwa na Dr. Marcus Albanie kwenye kipindi cha channel ya UTV, kwamba kwanini asiombe radhi kwa wananchi kwa kushiriki kwake kuzui bunge Live. Mh. Nape amesema sio kosa lake, bali ni sheria za bunge na anatamani bunge lirushwe live ikiwemo kamati za bunge ambako ndo kuna mijadara mikaliView attachment 1743492
Kipindi kimerushwa lini hiki ?
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom