Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
MuongezeeMbwa huyu....shenzi kabisa
MuongezeeMbwa huyu....shenzi kabisa
Kamuulize huyo mjinga mwenzako mnafiq na mzandiq.mbona juzi tu nimeona bunge live!!
Nape apuuzwe tu Kama n sheria kwann yeye asingeng'atuka kuonesaha hakuprndezewa na hicho kitu
#NDUGULILE OUT
Sio Panya mkuu ni vi mbwa koko.Panya habweki!Hizi panya zimeanza kubweka kila kona mpaka zinakera masikio
Jamaa anakuwa kama Bazooka.Hizi ni zama za Suluhu aache kutamani tamani.Ila mi tangu alipotembezwa na kamera akiwa anaingia ikulu na JIWE huwa hata namdharau sana kiasi kwama hata Mkewe namshangaa inakuaje yuko nae mpaka leoNape Nnauye usituone hatunazo
Wakuu, tumeshasahau kuwa haya yote yalikuwa ni matakwa ya JPM?Nape ulishatukwaza saana wa tz kwakuzuia bunge live, hujui tu wananchi tunasikitika kiasi gani
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app