Mkumbwa Jr
JF-Expert Member
- Mar 23, 2016
- 2,624
- 3,652
Leo amelalamikiwa nabaadhi ya wabunge kuhusu bunge live pamoja serikali kuingilia mhimili wa bunge na baadhi ya maelezo aliyoyatoa yanamkanganyiko
Amedai kwamba nigharama nayeye hayuko tayari TBC imfie mikononi.Hapa swali la kujiuliza ni je mbona taasisi nyingine binafsi zimekataliwa?
Amedai kwamba wananchi wanakua kwenye shughuli zao mfano wakulima,wafanyakazi na wapiga debe.Je serikali hii kumbe inawapa kipaumbele wapigadebe?
Nakuuliza Nape wakati unazunguka nchi nzima na kuwaita akina Kawambwa,Maghembe,nk mizigo kwenye mikutano ya hadhara kwani ilikua usiku au mchana na jua kali?
Akitoa ufafanuzi wa hoja ya Sugu amesema,upo mpango mkakati wa kuwafikishia wananchi matamgazo ya bunge kupitia simu za mkononi.Wakati fulani baadhi ya wanasiasa walidai sio watanzania wengi wanao miliki tv hivyo hata matangazo yasiporushwa kupitia tv athari sio kubawa.Ninauliza je watanzania wangapi wanamiliki simu zenye uwezo wakuonyesha matangazo ya bunge?
Ninamuona huyu jamaa kama mtu anaetakatu dhamira yake ya watanzania kutoona bunge itimie lakini kauli zake zinamkanganyiko
Nape nakukumbusha jifunze kwa Lukuvi kama njia ya mafanikio na jifunze kwa Wassira ili ujue ubaya wa kujiamini maana bungeni hayumo na anatamani pia kuona bunge kwa wakati na halioni
NB;Nimeamua kumkumbusha Nape ovu lake kubwa kwabaadhi ya watanzania tunaofuatilia siasa za bungeni
Kama nijasirikweli tueleze nikitu/dhamira gani ilikusukuma kufanya kosa hilo