Nape Nnauye: Ningependa bunge liwe live wananchi waone mijadala

Nape apuuzwe tu Kama n sheria kwann yeye asingeng'atuka kuonesaha hakuprndezewa na hicho kitu

#NDUGULILE OUT

Sheria ilitokea wizarani kwake na akaivalia njuga bungeni mpaka ikapitishwa! Huyu ni mtu wa kupuuzwa tu kwani inaelekea hakupata malezi mazuri.
 
Nape Nnauye usituone hatunazo
Jamaa anakuwa kama Bazooka.Hizi ni zama za Suluhu aache kutamani tamani.Ila mi tangu alipotembezwa na kamera akiwa anaingia ikulu na JIWE huwa hata namdharau sana kiasi kwama hata Mkewe namshangaa inakuaje yuko nae mpaka leo
 
Nape ulishatukwaza saana wa tz kwakuzuia bunge live, hujui tu wananchi tunasikitika kiasi gani

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Wakuu, tumeshasahau kuwa haya yote yalikuwa ni matakwa ya JPM?
Hivi, hata kama alikuwa hakubaliani na zuio lile, angeweza kumpinga yule bwana? Hata mama SSH kuna mambo anayoyafanya/yasema sasa, asingeweza wakati JPM alipokuwa hai!
 
Back
Top Bottom