Nape Nnauye: Magufuli ameacha Funzo kubwa. Kuna mashimo mengi ya kuyafukia

Hivi Nape kipindi cha Kikwete kilifanyika nini zaidi ya makundi ndani ya Chama?
DWMOKRASIA ILISHAMIRI ENZI ZAO HATA KAMA WALIKITETEA CHAMA CHAO KWA JASHO NA DAMU. LAKINI MWENDAZAKE HAKUSTAHILI KUPEWA CHEO KIKUBWA KAMA KILE. HATA HAYA MAKONGAMANO, SIJUI MASHINDANO ETI KUMUENZI JIWE NI KUPOOZA TU HASIRA ZA WATU JUU YA IBILISI ALIYEKUWA NDANI YA YULE JAMAA
 
Yani kama nakuona vile , Mwendazake aliumiza wengi mimi pia ni nuhanga wa utawala wake na hakika sikupendezwa na mengi aliyoyafanya.
Ila kwa kuwa ameshatangulia basi hatuna budi kumsamehe, nakusihi msamehe ili apate pumziko
Siyo kazi yetu kumpumzisha ni kazi ya muumba wake. Sisi ni vibano tu ili iwe fundisho kwa yeyote ayakaye tuletea UDIKTETA Tanzania
 
Wana CCM wataanza kumwita Nape msaliti. Hii nchi unafiki unaliangamiza taifa mtu kusimamia Haki anaonekana msaliti na siyo mzalendo hii tabia ya kuoneana haya itatuchelewesha sana.
Inasikitisha sana
 
Baada ya miaka 3 ni mashimo yapi yaliyofukiwa?

Nape unaweza kuyaonyesha?
 
Back
Top Bottom