Nape Nnauye: Madiwani wa CCM wanaoama wamekosa mvuto kwa wananchi

anawapa moyo wana ccm wenzake ila kwa wenye akili wanajua kabisa meli imeanza kuzama.
 
hatofautiani na shigela aliyesema wanaotoka ni magamba.
magamba yamengangania hayatoki hadi yatolewe, wanaotoka ni wale waliowasafi waliochoka kuendelea kuishi na magamba.
 
"wananchi wanahitaji watendaji wanaofanya kazi, ukikosa kuwajibika kwa wananchi watawajibisha" mwisho wa kunukuu
nape ameyasema hayo baada ya diwani mwingine mwanza kukihama chama cha mapindizi

akiongea kwa kujiamini amesema ccm ni imara haitetereki na itadumu milele kama wewe ni mwanaccm na unaongoza wananchi ukakosa uhadirifu watakuwajibisha ndo maana madiwani wa arusha mwanza wanahama. Wangebaki ccm rungu al chama lingewashukia

nape rudi ukajifikilie upya, usichezee akili zetu, kama uwezo wako wa kufikiri umestack, omba rikizo ukapumzike. Chama kinakufa wewe umelala, unakuja na kauli za kukenjeri

source:wapo

ccm haina tatizo ila watu wake ndo matatizo
 
nape na shigela hawana tofauti kabisa wote ni magamba wote ni wanasisim wote wanawalinda magamba wote waoga
watu hawa hawafai kwa maendeleo ya taifa.
 
"Wananchi wanahitaji watendaji wanaofanya kazi, ukikosa kuwajibika kwa wananchi watawajibisha" Mwisho wa kunukuu
Nape ameyasema hayo baada ya diwani Mwingine Mwanza kukihama chama cha mapindizi

Akiongea kwa kujiamini amesema CCM ni IMARA haitetereki na ITADUMU milele kama wewe ni mwanaCCM na unaongoza wananchi ukakosa uhadirifu watakuwajibisha ndo maana madiwani wa ARUSHA mwanza wanahama. Wangebaki CCM Rungu al chama lingewashukia


Source:Wapo

Asitake kutufanya sisi ni wapumbavu wenzie tusiofikiria vizuri. Hao viongozi wamejitoa wenyewe, hawajapigiwa kura za kutokuwa na imani na hatimaye kuondolewa na wananchi kama anavyodanganya. Wananchi wamewawajibisha saa ngapi na kwa namna ipi? Dogo pumbaf sana!
 
Hivi wamefukuzwa au wamehama ?

To put it bluntly nadhani wenyewe ndio wameifukuza CCM
 
Nape anadhihirisha udhaifu wa CCM kwani imeshindwa kuwawajibisha mafisadi mpaka leo na sasa anawadanganya wenzake kuwa wanaohama chama kingewawajibisha, kwanini hakikufanya hivo kabla? HONGERA VIJANA MLIOJUA KUWA CCM NI MAHALI SALAMA KWENU MKAONDOKA NA KUJIUNGA NA CHAMA CHA WATU.
 
"Wananchi wanahitaji watendaji wanaofanya kazi, ukikosa kuwajibika kwa wananchi watawajibisha" Mwisho wa kunukuu
Nape ameyasema hayo baada ya diwani Mwingine Mwanza kukihama chama cha mapindizi

Akiongea kwa kujiamini amesema CCM ni IMARA haitetereki na ITADUMU milele kama wewe ni mwanaCCM na unaongoza wananchi ukakosa uhadirifu watakuwajibisha ndo maana madiwani wa ARUSHA mwanza wanahama. Wangebaki CCM Rungu al chama lingewashukia


Source:Wapo

Siasa bana ni mchezo wa hatari sana, tatizo lake kuna wakati inabidi ule matapishi yako, wakati mwingine inabidi ujifanye kama huna masikio vile!!! Sasa mbona CCM imejaa WEZI na WALA RUSHWA kama Chenge and fiasco na rungu ni kama halipo?
 
Nape hana tofauti na yule waziri ya habari wa Iraq enzi zileee za vita! Hana pa kujishika alichopaki nacho ni mdomo tu wa kujitetea

anaitwa Alsahaf,muongo kama nape anavyoweweseka,mbona diwani wetu toka uchaguzi ha2jamuona hamjamwajibisha? Nape hii sio ile enzi ya zidumu fikra za mwenyekiti
 
Kauli ya Nape nafananisha na kauli za yule aliyekuwa msemaji wa Iraq wakati wa vita na Marekani
 
propaganda zikizidi sana inakuwa kero. Yani hawa magamba hawaonyeshi dalili ya kushituka?
 
Back
Top Bottom