Nape Nnauye: Madiwani wa CCM wanaoama wamekosa mvuto kwa wananchi

"Wananchi wanahitaji watendaji wanaofanya kazi, ukikosa kuwajibika kwa wananchi watawajibisha" Mwisho wa kunukuu
Nape ameyasema hayo baada ya diwani Mwingine Mwanza kukihama chama cha mapindizi

Akiongea kwa kujiamini amesema CCM ni IMARA haitetereki na ITADUMU milele kama wewe ni mwanaCCM na unaongoza wananchi ukakosa uhadirifu watakuwajibisha ndo maana madiwani wa ARUSHA mwanza wanahama. Wangebaki CCM Rungu al chama lingewashukia

Source:Wapo

If so mkuru ndo wa kwanza anatakiwa kuwajibiswa, Tatizo la Nape anaongeaga vitu kamMlevi vile, Mkuu wake ndo analalamikiwa hata wabunge wa ccm wanamlaumu yeye, sasa kama Nape ana Ubavu akamwambie mkuu wake na si kuwa onea madiwani kwamba si wa tendaji,

Ina maana waliobakia wote ndo watendaji? Kesho wakijiuzuru wengine nao wanaingia kwenye orodha ya kuwa si watendaji?
 
Huyo Nepi asiwe mpuuzi, yeye alikwenda CCJ kufanya nini kama issue si CCM kama chama kimepoteza mvuto na hivi ukiwa mkiongozi ktk chama hicho basi utakuwa ktk system ya kutokubalika nawananchi??????
 
Hii Kauli za Nape na Makada wengine wa CCM zinanikumbusha ile story ya Mlugulu kuhisi kuna mtu anawekea kitu kwenye "Jicho la Tatu" hakakausha baada ya mambo kuharibika akaenda mahakamani kufungua kesi.Wakati wa kusikiliza kesi Hakimu anamuuliza kwanini ukukimbia wakati mtuhumiwa anakuwekea kitu kwenye "Jicho la Tatu"Hakajibu eti alikuwa anataka kupata Ushaidi!

Magamba if you dont have a competative advantage, dont compete.
 
ukiona ndgu yako anaokota makaratasi barabarani anaweka kwenye pochi na hela anakuambia ni takataka na akazitupa anza kutafuta tiketi ya dodoma.

mwahishe mirembe.

NAPE CHEO ALICHOPEWA NI SAHIHI KWA WAKATI SAHIHI.
NAPE ANAROHO NGUMU NDIYO MAANA AMEPEWA KAZI YA KULALA CHUMBA KIMOJA NA MAITI.
 
"Wananchi wanahitaji watendaji wanaofanya kazi, ukikosa kuwajibika kwa wananchi watawajibisha" Mwisho wa kunukuu
Nape ameyasema hayo baada ya diwani Mwingine Mwanza kukihama chama cha mapindizi

Akiongea kwa kujiamini amesema CCM ni IMARA haitetereki na ITADUMU milele kama wewe ni mwanaCCM na unaongoza wananchi ukakosa uhadirifu watakuwajibisha ndo maana madiwani wa ARUSHA mwanza wanahama. Wangebaki CCM Rungu al chama lingewashukia

Source:Wapo

Kwani yeye nape ana mvuto? Angekuwa na mvuto tusingemwona kama kinyesi cha binadamu kilichonyeshewa mvua
 
Hawana jipya kwa sasa.CCM inaendelea kujifariji tu.Sasa hivi wengi ninaowaona wakishabikia ccm ni maajuza tu.
 
"Wananchi wanahitaji watendaji wanaofanya kazi, ukikosa kuwajibika kwa wananchi watawajibisha" Mwisho wa kunukuu
Nape ameyasema hayo baada ya diwani Mwingine Mwanza kukihama chama cha mapindizi

Akiongea kwa kujiamini amesema CCM ni IMARA haitetereki na ITADUMU milele kama wewe ni mwanaCCM na unaongoza wananchi ukakosa uhadirifu watakuwajibisha ndo maana madiwani wa ARUSHA mwanza wanahama. Wangebaki CCM Rungu al chama lingewashukia

Source:Wapo
Source not reliable
 
Anikumbusha yule waziri wa habari wa SADDAM HUSSEIN anaitwa EL SAHAF..........NAPE umepoteza mwelekeo.
 
du hizi thread haziwafurahishi kabisa ritz rejao pamoja na tume ya katiba wote wapo kwenye jukwaa la mapenzi hapa hawafikishi mguu tena

nape kaka ebu kalale, usituchefue ssaaaana na kalui za kujifariji. Kwa taarifa yako wiki hii na ijayo omba uzima kwa mungu utashuhudia makuuu. Chukua namba yangu nikupe orodha ya wabunge na madiwani wanaotaka kujiunga cdm. Mavuno kwa april tu utakiona. Nyie si mnalea mafisadi cdm tunataka serious pipo. Namba ynagu unayo nimekumbuka njoo dodoma uone mambo ya vikao vya wanaotaka kupokelewa cdm
 
"Wananchi wanahitaji watendaji wanaofanya kazi, ukikosa kuwajibika kwa wananchi watawajibisha" Mwisho wa kunukuu
Nape ameyasema hayo baada ya diwani Mwingine Mwanza kukihama chama cha mapindizi

Akiongea kwa kujiamini amesema CCM ni IMARA haitetereki na ITADUMU milele kama wewe ni mwanaCCM na unaongoza wananchi ukakosa uhadirifu watakuwajibisha ndo maana madiwani wa ARUSHA mwanza wanahama. Wangebaki CCM Rungu al chama lingewashukia

Source:Wapo

spin doctor
 
HUYU Jamaawe mwache,atabaki kujipa matumain huku chama kinakufa,akizinduka atajikuta amebaki yeye na mwenyekiti wake.we mwache.
 
Mtoto wako hata kama ni tahaira siku moja akikukana hutasema hakuwa mwanangu. Wewe ndiye mwenye matatizo ya kulea, It is better for Brother Nape to check his house and not otherwise. Especially when Councellors are leaving the Party because of Ufisadi and all evils.
 
ndani ya ccm ya nape hakuna mvuto; wanaoondoka wameona ilivyogumu kukongoza ukiwa ccm na ni heri kuachia uchafu kwa wenye uchafu! Kuthibitisha hilo, madiwani wote walioachia ngazi watachaguliwa tena na wananchi; cjui hapa nape atasemaje
 
"Wananchi wanahitaji watendaji wanaofanya kazi, ukikosa kuwajibika kwa wananchi watawajibisha" Mwisho wa kunukuu
Nape ameyasema hayo baada ya diwani Mwingine Mwanza kukihama chama cha mapindizi

Akiongea kwa kujiamini amesema CCM ni IMARA haitetereki na ITADUMU milele kama wewe ni mwanaCCM na unaongoza wananchi ukakosa uhadirifu watakuwajibisha ndo maana madiwani wa ARUSHA mwanza wanahama. Wangebaki CCM Rungu al chama lingewashukia

Source:Wapo

Hata El Sahaf, Waziri wa ulinzi enzi za Sadam alitumia maneno kama hayo wakati majeshi ya Marekani yakiingia Baghdad.
 
Back
Top Bottom