Nape Nnauye kuongea na wana Mtama Jumamosi tarehe 8-4-2017

Hivi huyu kwa nini asikae kimya? Alifikiri watu wataendelea kumtajataja. Hiyo ndo imetoka. Asubiri tu majaliwa ya mola akishindwa ahamie ukawa. Akisema huo ukweli ndo utasaidia nini. Kiburi chake ndo kimemfikisha hapo.Nape ana dharau sana na hauwezi kumsaidia hata
atakaaje kimya na wakati ni mbunge na anataka kuongea na wananchi wake waliomchagua na huenda asiongelee hizo ishu zilizojijenga vichwani mwa watu wengi.
 
Dah....Kaka Nape kaingia vitani bila hata kujua anampigania nani.....Ukweli gani wana Mtama wanataka kuusikia zaidi ya maendeleo ya jimbo lao?? Mtama kuna matatizo mengi zaidi ya kuvamiwa klauds...Mtama walimchagua yeye kuwa mbunge tu.....Shtuka Kaka huwezi beba zege wewe :D:D:D:D
 
39f3070fc1b94db4d0a0855b5438763a.jpg

Siku ya tarehe 8.4.2017 mbunge wa Mtama Mh. Nape Nnauye atatikisa jimbo la Mtama na kueleza ukweli wote. Kabla ya kutua Mtama, Nape atapata mapokezi makubwa sana Lindi mjini ambapo atasindikizwa na wazee waandamizi na wabunge machachari ndani ya bunge.

Nape atasindikizwa na Membe, Mwandosya, Bashe, Lugora Kangi, Msukuma na wengine wengi.
 
Dah....Kaka Nape kaingia vitani bila hata kujua anampigania nani.....Ukweli gani wana Mtama wanataka kuusikia zaidi ya maendeleo ya jimbo lao?? Mtama kuna matatizo mengi zaidi ya kuvamiwa klauds...Mtama walimchagua yeye kuwa mbunge tu.....Shtuka Kaka huwezi beba zege wewe :D:D:D:D

Ni kweli kabisa, Clouds wenyewe wako bize kumsifu Rais hata Nape hawamkumbuki tena. kweli Nape hajui anachopigania. Na akitaka kujua ahamie tu UKAWA maana ninavyomwona anaelekea kuchanganyikiwa. Kiburi kimemfikisha hapo. nape anadharau na kiburi sana.
 
Hili picha la kimkakati na magu akitumia nguvu litamponza dawa na hekima tu maana nape mnajua nyuma yake wako nani siokum understemate kbsa
 
Back
Top Bottom