Nape Nnauye: Kumbe kulikuwa na Orodha ya Wahuni chamani? Natamani sana kuwajua Wahuni Waliopona

Katibu mwenezi wa CCM mstaafu na mbunge wa Mtama Nape Nnauye ameshangaa taarifa iliyotolewa na mrithi wake chamani ambaye kwa sasa ni mbunge wa viti maalumu komredi Polepole kwamba Wahuni ndani ya chama hawajaisha.

Nape amesema anatamani kuwajua Wahuni Waliopona.

Sabato njema.
Yeye Nape ni "mhuni" aliyekwisha tayari.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Hivihivi NAPE nilianza kumdharau japo nilikuwa namkubali zamani kumbe Shankupe mmoja hivi mwenye ako na kishundu!
 
Katibu mwenezi wa CCM mstaafu na mbunge wa Mtama Nape Nnauye ameshangaa taarifa iliyotolewa na mrithi wake chamani ambaye kwa sasa ni mbunge wa viti maalumu komredi Polepole kwamba Wahuni ndani ya chama hawajaisha.

Nape amesema anatamani kuwajua Wahuni Waliopona.

Sabato njema.
Polepole ni kibaka wa kisiasa.
 
Katibu mwenezi wa CCM mstaafu na mbunge wa Mtama Nape Nnauye ameshangaa taarifa iliyotolewa na mrithi wake chamani ambaye kwa sasa ni mbunge wa viti maalumu komredi Polepole kwamba Wahuni ndani ya chama hawajaisha.

Nape amesema anatamani kuwajua Wahuni Waliopona.

Sabato njema.
Hapa mama SSH anayo nafasi kubwa sana ya kuijenga nchi upya. Ni vizuri akahakikisha wote wanshieikishwa chamani na serikalini. Wanapo gombana makundi makundi hasimu ndani ya chama wanao umia ni taifa.
 
Back
Top Bottom