Nape Nnauye: Kumbe kulikuwa na Orodha ya Wahuni chamani? Natamani sana kuwajua Wahuni Waliopona

Nape naye ni sehemu ya wahuni tena yeye ni kitoroli chao kabisa..

Ile movie ya kutembea kwenda ikulu kuomba samahani nayo ilikuwa ametumwa na wahuni masikini marehemu naye akachukulia easy kumbe alikuwa amesakiziwa dog......
 
Orodha ile niliwahi kuichungulia ila duh.
1 Abdul Rahman Kinana
2 Nape Mnauye
3 January Makamba
4 Kingunge Ngumbale
5 Sofia Simba
6 Immanuel Nchimbi
7 Mwigulu Mchemba
Na kadha wa kadha.
List ilikuwa na majina zaidi ya 80 na baadhi yao ni marais wastaafu bara na visiwani.
Kumbe ni Kingune alishughulikiwa?? Tulijua ni uzee tu
 
Nape naye ni sehemu ya wahuni tena yeye ni kitoroli chao kabisa..

Ile movie ya kutembea kwenda ikulu kuomba samahani nayo ilikuwa ametumwa na wahuni masikini marehemu naye akachukulia easy kumbe alikuwa amesakiziwa dog......
Hii inaitwa Mbwa kala Mbwa
 
Nape na Januari ndo wahuni wenyewe.

EF8C9901-5B5D-4F20-979F-3EAC9994BB59.jpeg
 
Orodha ile niliwahi kuichungulia ila duh.
1 Abdul Rahman Kinana
2 Nape Mnauye
3 January Makamba
4 Kingunge Ngumbale
5 Sofia Simba
6 Immanuel Nchimbi
7 Mwigulu Mchemba
Na kadha wa kadha.
List ilikuwa na majina zaidi ya 80 na baadhi yao ni marais wastaafu bara na visiwani.
Marehemu aliacha masakara wengi sana, mliamini yeye ndio yule au angojwe mwingine..
 
Katibu mwenezi wa CCM mstaafu na mbunge wa Mtama Nape Nnauye ameshangaa taarifa iliyotolewa na mrithi wake chamani ambaye kwa sasa ni mbunge wa viti maalumu komredi Polepole kwamba Wahuni ndani ya chama hawajaisha.

Nape amesema anatamani kuwajua Wahuni Waliopona.

Sabato njema.
Nape Awasiliane na Polepole atampa Orodha
 
Hihihiii! CCM sasa hivi kuna minyukano haswa baada ya kula nyama ya wapinzani na kuimaliza...
 
Kama kweli CCM ilikuwa na wahuni ni vizr sasa Bwana Chongolo kumwita kamati Kuu awajate hao wahuni ili chama kchukue tahadhari mapema ili mwisho wa siku wasije wakajioganize na kutuletea mgombea wa urais mhuni
 
Katibu mwenezi wa CCM mstaafu na mbunge wa Mtama Nape Nnauye ameshangaa taarifa iliyotolewa na mrithi wake chamani ambaye kwa sasa ni mbunge wa viti maalumu komredi Polepole kwamba Wahuni ndani ya chama hawajaisha.

Nape amesema anatamani kuwajua Wahuni Waliopona.

Sabato njema.
Mhuni ni. 1 alitwaliwa tar 17.03.2021
 
Kati ya watu wanaoona wameyapatia maisha utawala huu, ni Nape asee,

Namshauri ajifunze kunyamaza, hawajui maadui zake wote.
 
Katibu mwenezi wa CCM mstaafu na mbunge wa Mtama Nape Nnauye ameshangaa taarifa iliyotolewa na mrithi wake chamani ambaye kwa sasa ni mbunge wa viti maalumu komredi Polepole kwamba Wahuni ndani ya chama hawajaisha.

Nape amesema anatamani kuwajua Wahuni Waliopona.

Sabato njema.
Vita vya panzi hivi.....
 
Back
Top Bottom