Kumbakumba
JF-Expert Member
- Sep 7, 2011
- 222
- 18
tatizo la kijana njaa,anataka wallet yake iwe sawa na ya R.A au A.C au E.L
Hivi nyie hamumjui Nape atakuja hapa na maneno ya dharau hamtaamini.Chifu Mkwawa, umeichambua vizuri kwa kiasi chake na ninachongoja ni kuona Mh. Nape atakapopita (anaweza akawa ameisoma tayari) ni lazima aache maoni yake na hii itatusaidia kujua 'udodoki' wake ulipo!
Chief umeuliza maswali magumu sana, Nape hawezi kuyajibu, elimu yake ya Kihindi.
Tulitabiri CCM haiwezi kubadilika, Leo hii Sita hajaongea chochote kuhusu kusafishwa kwa Rostam, Olesendeka, Mama Kilango, January Makamba wote ni kimya kabisa.Nape my dear brother. We trust on your brother, but umetuangusha kijana mwenzetu. Hivi kinachokufanya usichukue hatua kwa msimamo wako ni kipi? Hapa umesalitiwa na wenzako wote. Yu wapi Samwel Sitta, Olesendeka, na wenzake wengi wanaojiita wapinga ufisadi. Hapa mngeungana pamoja mngelishinda hii vita.
Hii vita mlikuwa hamjui adui zenu ni akina nani. Hapa mlikuwa mmezungukwa na maadui wengi sana lakini hukupata hekima ya kuwajua. Sasa umewatambua maadui unaopaswa kupambana nao. Sasa uamuzi upo kwako wewe kama kusuka au kunyoa.
Nape it is high time now kufikiria kuachana na magamba kwani huu mpango wa kampeni Igunga ni wanakudhalilisha na upiganaji wako unakuwa hauna maana think twice na uachane na magamba bora ukaendeleze chama choko cha CCK
<br /><font size="3">To Nape this is employment opportunity! To resign!!, so then, where do you want him to go? He hasn't more skills than then and there, he hasn't options than bending and be flexible as far as possible provided he earns what he aims, that is how our politicians are, they have politics on both hands and nothing in their head.<br />
<br />
Your advises are the best possibilities but they can't work for someone who hasn't gone to school and hasn't somewhere to go from his own experiences, skills and education, <font color="#222222"><span style="font-family: Tahoma">try to advise someone else as for the concerned guy this looks like misleading advise.</span></font></font>