😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁Nape ni kama majaliwa. Kabila lake ni mwera huwa ukoo wanarithi kwa mama zao. Familia za kimwera huongozwa na wanawake.
Sita shangaa hata Membe siku moja kusikia naye kabatizwa kwa mavi hapa pia kwani sijawahi kusikia shujaa wa kimwera....
Ile lift alipewa mpaka getini,huoni soli yake ya kiatu ilibanduka,akawa anatembea kwa kurukaruka?Mbona kuondoka kaondoka na gari?haya yalikua ni maigizo jamaa anatengeneza tatizo halafu anatafuta kuwa hero
Huyu NAPE ndiye aliyezuia BUNGE live ama?
Mbona wageni wengine wakienda Tunaona wanashushwa mbaka kwenye ngaz zakuingia ikulu ndani na Rais akisha maliza kuongea nao wanatoka mbaka kwenye kibaraza Gari zinawafata wapanda mbele ya ngaz yakuingia ndani ikulu.Mnapafahamu ikulu? Mnadhani ni kama makwenu kwamba wewe unaamua mgeni aje mpaka popote? Mlishawahi kuingia nyinyi mkaenda na magari? Au ndo zile za kwenu ni kusupport tuuu hata upuuzi.
Huyo kwa uongo anajulikana AMEKUBUHU!
Any way, wengine tusi ni neno lolote la kidhalilishaji linalotamkiwa mtu.Ndio! Tusi au kosa likowapi katika sauti zile?
Siamini kama atakwenda kupiga goti.BCM akipiga goti naacha kuingia Jf
The inside information shows that the man asked for forgiveness yesterday kidnapped for two weeks by unknown men, what they did to him is unknown but the result of his kidnap is what happened yesterday. The wise one will understand by connecting dots by the last week story, that unknown men hunted BCM and the information leaked before.