Nape Nnauye kama January Makamba, maji ya shingo yamfika. Amuangukia Rais Magufuli baada ya kumnanga

Ilikuwa ni ishara ya kujuta tena alitakiwa aingie akitwmbelea magoti. Alipoondoka ndipo alipopanda gari
 
Kuna Uzi upo niliwai kuandika khs Ndugu Nape Zitto January Na Hussein Bache Nape mwenyewe alikuja kuchangia Vijana tufanye kazi nani asie jua mtaani kugumu hv km aliweza kupinga tusione bunge live itakuwa kwenda kulia kwa Anko Magu ilikulinda Tumbo lake mwaka 2020 binafsi ni mpinzani wa baadhi sera za Anko Magu ila kwa kuninyooshea watu hawa nipo pamoja nae nina Iman 2020 mtama tutampa fursa kijana mwingine...
 
Nyie watu sijui km mmewahi kufika Ikulu, unapingia kuelekea ofisini kwa mkulu, unaambiwa utelemke kwenye gari ni sehemu ya mwendo kidogo, wasioshuka kwenye gari ni viongozi wa juu tu lkn hawa wa kawaida wanashuka kuanzia geti la pili la kuelekea ofisini kwa mkulu! So sioni tatizo na sio km hakwenda na gari, hivi katika hali ya kawaida Nape hana gari kweli wkt bi mbunge!
 
Nape ni kama majaliwa. Kabila lake ni mwera huwa ukoo wanarithi kwa mama zao. Familia za kimwera huongozwa na wanawake.
Sita shangaa hata Membe siku moja kusikia naye kabatizwa kwa mavi hapa pia kwani sijawahi kusikia shujaa wa kimwera....
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Mbona kuondoka kaondoka na gari?haya yalikua ni maigizo jamaa anatengeneza tatizo halafu anatafuta kuwa hero
Ile lift alipewa mpaka getini,huoni soli yake ya kiatu ilibanduka,akawa anatembea kwa kurukaruka?
 
Mnapafahamu ikulu? Mnadhani ni kama makwenu kwamba wewe unaamua mgeni aje mpaka popote? Mlishawahi kuingia nyinyi mkaenda na magari? Au ndo zile za kwenu ni kusupport tuuu hata upuuzi.
Mbona wageni wengine wakienda Tunaona wanashushwa mbaka kwenye ngaz zakuingia ikulu ndani na Rais akisha maliza kuongea nao wanatoka mbaka kwenye kibaraza Gari zinawafata wapanda mbele ya ngaz yakuingia ndani ikulu.
 
Kazi nzuri jamani,mtu anafikiria mke wake,watoto wake,ndugu na jamaa wanaomtegemea,anakubali tu yaishe,hata kama ingekuwa kuruka kichura chura let it be,lakini unajua msamaha ukipita narudi kwenye kiyoyozi.....!
 
Ndio! Tusi au kosa likowapi katika sauti zile?
Any way, wengine tusi ni neno lolote la kidhalilishaji linalotamkiwa mtu.

Sasa alienda pale kuomba msamaha wa nini kama siyo maneno aliyoyatamka siyo kosa?

Katika maongezi ya kawaida ya kibinadamu, kwa mtu unayedhania anakuheshimu na wewe ukamthamini, yaani mnaheshimiana sana, halafu siku1 usikie akikusema ovyo kwa watu, nafsi yako itajisikiaje kwa mfano?
 
The inside information shows that the man asked for forgiveness yesterday kidnapped for two weeks by unknown men, what they did to him is unknown but the result of his kidnap is what happened yesterday. The wise one will understand by connecting dots by the last week story, that unknown men hunted BCM and the information leaked before.
 
Jamani njooni jukwaa la kubet tupeane odds tupate hela. Hayo mambo ya siasa mtaumizana mioyo tu. Jaribu kufikiria mtu anaomba msamaha alafu ww unachukia, tutafute hela huyo Nape hawezi kuongeza hata sh 10 kwenye maisha yako. Au ukimshabikia Mbowe anakusaidia nn kwenye maisha yako.
 
MMMH MKUU MBONA UMEANDIKA KIMAFUMBO SANA KAMA VERIFIED MEMBER? VUNJA KIMYA ACHA WOGA
 
The inside information shows that the man asked for forgiveness yesterday kidnapped for two weeks by unknown men, what they did to him is unknown but the result of his kidnap is what happened yesterday. The wise one will understand by connecting dots by the last week story, that unknown men hunted BCM and the information leaked before.
 
Back
Top Bottom