Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,470
Nafikiri hili ndio wengine tulishindwa kulionaHapana chezea. Bila siasa Nape hawezi kuishi. Maana ni kilaza. Hakuna sehemu anaweza ajiriwa.
Nafikiri hili ndio wengine tulishindwa kulionaHapana chezea. Bila siasa Nape hawezi kuishi. Maana ni kilaza. Hakuna sehemu anaweza ajiriwa.
Mpaka sasa lile ni kosa la jinai kumfanyie vile Rais wetu nashangaa DPP yupo kimya na wote sauti tulizisikiaMkuu utachoma mafuta kwenda kuomba msamaha kwa mtu bila kumtendea kosa?
Wamejidhihirisha wazi kuwa sauti za kashifa zilizozagaa mitandaoni ni za kwao.
Haswaa! Kabla ya uchaguzi mwakani tutashuhudia mengiYajayo yanafurahisha.. ngoja tuone who is next!
Amen, ubarikiwe kwa neno zuriKweli shetani lucifa hufurahia mafanikio ya muda mfupi,
Lucifa alipowatumia wayahudi kumuua Yesu alifurahi sana,
kimbembe ni pale Yesu kufa na kwenda kuzimu akamyanganya funguo lucifa, Siku ya tatu akapaa mbinguni, furaha ya Lucifer ilikoma ikabaki majuto, alinyongonyea mpaka kesho
Usikariri anaweza kuajiri vile vile...Hapana chezea. Bila siasa Nape hawezi kuishi. Maana ni kilaza. Hakuna sehemu anaweza ajiriwa.
wanasema mwana siasa akikwambia saizi mchana nenda nje kahakikishe usimwamini kizembeWanasiasa sio watu wa kuwaamini, alivyokua anaongea vile kwenye simu sijategemea kumuona akiomba msamaha
Hahaha,.fedheha haistahimiliki kirahisi jomoniii chaa!!!Shikamooni wake wa Wanasiasa wote!!
Mie roho yangu naijua mwenyewe; kifua cha kustahimili mume wangu akifanya mambo kama haya sina😒😒
Washenzi tuu,.Bi mdashi punguza kidooogo sauti.....hasa hilo neno la mwanzo.hahaha
makosa gani alimfanyia Magu?
Ni njaa, lkn nafsi ya ndani inajua haikutenda kosa lolote!Muulize Nape mwenyewe alifanya makosa gani hadi kwenda kuungama kwa Mheshimiwa Rais.
Hahahhaa Jasusi hawezi kumpigia Goti NJUKA.
ujasusi
Aliulizwa kule azam tv hio sauti ni ya kwako akaanza kujibu majibu yasiyoeleweka'ooh kimsingi hili suala lina ujinai ndani yake sijui nini',inshort hakueleweka alichokua anakisema.Hivi nape hajawai kukana zile voice notes kweli....au kumbukumbuka zangu zinaenda harijojo???