Nape Nnauye kama January Makamba, maji ya shingo yamfika. Amuangukia Rais Magufuli baada ya kumnanga

Mkuu utachoma mafuta kwenda kuomba msamaha kwa mtu bila kumtendea kosa?
Wamejidhihirisha wazi kuwa sauti za kashifa zilizozagaa mitandaoni ni za kwao.
Mpaka sasa lile ni kosa la jinai kumfanyie vile Rais wetu nashangaa DPP yupo kimya na wote sauti tulizisikia
 
Kweli shetani lucifa hufurahia mafanikio ya muda mfupi,

Lucifa alipowatumia wayahudi kumuua Yesu alifurahi sana,

kimbembe ni pale Yesu kufa na kwenda kuzimu akamyanganya funguo lucifa, Siku ya tatu akapaa mbinguni, furaha ya Lucifer ilikoma ikabaki majuto, alinyongonyea mpaka kesho
Amen, ubarikiwe kwa neno zuri
 
Upinzani waige kusameheana laiti kama upinzani kusingekua na kufukuzana kwenye chama upinzani ungekua imara zaidi but mtu akikosea kidogo tu basi anatimuliwa uanachama matokeo yake kuzigawa kura za watanzania
 
Hivi nape hajawai kukana zile voice notes kweli....au kumbukumbuka zangu zinaenda harijojo???
Aliulizwa kule azam tv hio sauti ni ya kwako akaanza kujibu majibu yasiyoeleweka'ooh kimsingi hili suala lina ujinai ndani yake sijui nini',inshort hakueleweka alichokua anakisema.
 
Huyu baba anapenda kudhalilisha watu,kwanza makamera ya nini na mtu keshaomba msamaha,mpaka umtangaze duh wanasiasa wana kazi
 
Mbona kuondoka kaondoka na gari?haya yalikua ni maigizo jamaa anatengeneza tatizo halafu anatafuta kuwa hero
 
Njaa Mbaya
Ubunge Mtamu
Miposho kedekede
Limshahara Rundo
Mapochopocho ya kuzidi

Jamani siasa tamu ukiujua unafiki usioumiza alooooo Mshamba kawa mjanja na mjanja ana ujanja wa kihuni in One incredible voice
 
Back
Top Bottom