Tindikali
JF-Expert Member
- Mar 26, 2010
- 2,014
- 2,664
bado watoto wadogo, wana njaa, hawana strategy nyingine zozote za maisha zaidi ya vyeo vya CCM
njaa mbele principle inafuata
Nyerere aliweka principle mbele njaa nyuma
akaacha kazi akaenda kuishi na watoto kwenye ki ramshackle hut Mwembechai Magomeni bila ajira
akawa anashinda njaa Mwananyamala kwa Mwinjuma na Gerezani Kariakoo na ma ustaadhi maskini wenzie wasio na mbele wala nyuma, kupigania maslahi mapana zaidi kuliko njaa binafsi
wako watu wachache sana dizaini hizo huku Afrika