Nape Nnauye awalalamikia watanzania ndani ya JF kumkejeli

By the way kwa nini alikubali kuwa publicity secretary if he is this weak psychologically?
 
if you don't want to be criticized; say nothing, do nothing and be nothing!
even if you say nothing they will criticize you as "why you say nothing",if you do nothing then they will say "why you do nothing"and if you are nothing then they will ask as "why you are nothing"
So you better say something,do something since you can't be nothing and accept criticizism for the sake of making evalution of your own stands.
Nape alipokubali kubeba mikoba ya wazee wa CCM wanaojiita wamejivua gamba alitakiwa ajue kuwa lazima atakosolewa ukizingatia Nape anachojaribu kuwahubiria wanatanzania ni kama kiini macho.
Tangu alipoteuliwa kushika hiyo nafasi sina hakika kama mpya ilisha kaa vikao vya kimkakati ya namna ya kuanza kuhubiri KUJIVUA GAMBA.KUJIVUA GAMBA inaacha maswali mengi kwa wahubiriwa,yeye Nape anashindwa kuona tatizo la kimfumo mzima uliopo ndani ya chama.Sina hakika kama kuna strategic plan zaidi ninachoona ni kama wanajaribu kuzima moto kama njia ya kuokoa chama kwa gia mbovu.
Suala la kejeli haliepukiki ktk mahubiri yake kwani anajaribu kuwaambia wananchi kwamba inawezekana kuwaondoa MAFISADI ndani ya chama kwa kigezo cha kutajwa kwenye magazeti na m/kiti wake ni miongoni mwao ila yeye haguswi na kujivua gamba.
ILI kuepuka KEJELI kamati yake ilitakiwa ikae chini iwe na strategy ya kuondoa hizo SINTOFAHAMU nyingi kabla ya kuanza kuhubiri.
JF wanajadili hoja mbalimbali ikiwemo hayo mahusibiri ya KUJIVUA GAMBA,hivyo kama NAPE alitakiwa aje JF ajibu hoja pengine angeweza kushauriwa kwani ndani ya JF wapo wanaCCM wengi na wanaharakati wengi wenye mapenzi mema na CCM.
 
Nape ajue kuwa kukosolewa ni sehemu ya makuzi ya uongozi, he should have not accepted the post if he is this weak-ni mtu wa kulalamika mno, a poor and bad quality for a leader. wasiopenda kukosolewa end up being dictators wakipata madaraka ya kuongoza nchi. he should keep focused on the mission, accept kukosolewa/kutukanwa as challenge na tanuru linalompika na kumshape kuwa kiongozi bora.
 
Nakuunga mkono kabisa.Frankly sijaona mtu aliyemkejeli Nape hapa JF.Nilicho-ona ni mawazo mazuri tu ambayo kama atayatilia maanani yatamsaidia kutengeneza mambo yake ambayo yameharibika baada ya kuonja tamu ya CCM.The boy had very constructive ideas kabla ya kuonja tamu.
WAUNGWANA HABARI ZA ASUBUHI
KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI WA CHAMA CHA MAPINDUZI(CCM) MHESHIMIWA NAPE NNAUYE AMELALAMIKIA TABIA YA WANA JAMII FORUMS KUMKEJELI NA KUMTUKANA MATUSI,ANASEMA HAWEZI KUKAA KIMYA KUVUMILIA KEJELI NA MATUSI AMBAYO WANA JAMII FORUMS MNAMTUPIA,,NANUKUU MAJIBU YA MHESHIMIWA NAPE KWA WANA JF
Nape Nnauye


Nimesoma sana kejeli zilizoko Jf kwa ajili yangu, ipo siku giza na nuru vitajitenga mseme pia msiidhie hapo tu.....(SOURCE FACEBOOK-WALL POST YA NDUGU NAPE NNAUYE)

 
Hivi huyo hajui

  • muajiri mkubwa wa Tanzania ni serikali........

  • kampuni au mtu anaweza kukosa tenda kihalali kwa kumkomoa just bcs kaikosoa serikali ya CCM kwa jambo la wazi au la kweli?

  • Seriali za kiafrica zinavyofanya kazi


Mimi naona kuna wengi wenye majina yao halisi hasa wa CCM au serikalini sometime inabdi wakwepe kuandika ukweli uliomo kwenye nafsi zao. Mfano wa wazi ni jamaa anajiita W J malechela nikosma commnet zake huwa naona kabisa anachotaka kuandika lakini just bcs ya ID yake na postion aliyonayo hauwezi kuandika ukweli wa moyoni mwake kwa id hiyo........ Sasa si bora awe na Id fake akisaidie chama chake teh teh teh

Kuliko

  • kuwa mnafiki kwa kuweka jina la ukweli bora niendele kuwa na alias. ili niwe na uhuru wa kuchangia .

  • Kuliko kuwa na jina la kweli hapa linaloweza kusababishwa kampuni au shirika nalofanya kazi likomolewe bora bora niendelee na alias

So huyo mheshimwa sana asishangaa kuona alias. Just bcs yeye ni public figure asilazimishe kila mtu awe public. Achukue yanayofaa aacahe yasiyofaa.

Wale wenye access na wall yake wamuulze zaidi ya mapungufu ya JF ni kitu gani kimoja kizuri alichowai kukuiona jf. Hapo ndo tutamjua
 
Acha kulalamika wewe kama kiongozi unategemewa kuwa strong sasa nawewe umeingia kwenye mkumbo wa kulalamika kweli sisiem hakuna kitu. Utamsikia Chairman analalamika, PM analalamika, Vice analalamika hata wewe kijana unalalamika? Njoo toka nje ujibu ujifunze kutoka kwa great thinkers!
 
WAUNGWANA HABARI ZA ASUBUHI
KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI WA CHAMA CHA MAPINDUZI(CCM) MHESHIMIWA NAPE NNAUYE AMELALAMIKIA TABIA YA WANA JAMII FORUMS KUMKEJELI NA KUMTUKANA MATUSI,ANASEMA HAWEZI KUKAA KIMYA KUVUMILIA KEJELI NA MATUSI AMBAYO WANA JAMII FORUMS MNAMTUPIA,,NANUKUU MAJIBU YA MHESHIMIWA NAPE KWA WANA JF
Nape Nnauye


Nimesoma sana kejeli zilizoko Jf kwa ajili yangu, ipo siku giza na nuru vitajitenga mseme pia msiidhie hapo tu.....(SOURCE FACEBOOK-WALL POST YA NDUGU NAPE NNAUYE)


uheshimiwa wa nape upo wapi ...huyu ni kunguru tuu kama ze komedi .... waheshimiwa ni kama kina Jaji mstaafu Augustino Ramadhani
 
Back
Top Bottom