Nape Nnauye awalalamikia watanzania ndani ya JF kumkejeli

mpasta

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
917
1,997
WAUNGWANA HABARI ZA ASUBUHI
KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI WA CHAMA CHA MAPINDUZI(CCM) MHESHIMIWA NAPE NNAUYE AMELALAMIKIA TABIA YA WANA JAMII FORUMS KUMKEJELI NA KUMTUKANA MATUSI,ANASEMA HAWEZI KUKAA KIMYA KUVUMILIA KEJELI NA MATUSI AMBAYO WANA JAMII FORUMS MNAMTUPIA,,NANUKUU MAJIBU YA MHESHIMIWA NAPE KWA WANA JF
Nape Nnauye

Nimesoma sana kejeli zilizoko Jf kwa ajili yangu, ipo siku giza na nuru vitajitenga mseme pia msiidhie hapo tu.....(SOURCE FACEBOOK-WALL POST YA NDUGU NAPE NNAUYE)

Aseme magamba ambayo CCM inatarajia kujivua ni yapi vinginevyo kwa nafasi yake ya sasa avumilie tu. achambue pumba na mchelle. Nape, njoo JF kwa jina lako halisi. Tuna mengi tu ya kukupa na kukushauri. Kwa umri na haiba yako katika jamii wewe si mtu wa kulalama.
 
How strange Nape, that's cowardice. Wanaume kama akina Zitto, Dr. Slaa, Mnyika etc huwa hawalalami badala yake they come out openly and defend themselves hapa JF. Kinachomfanya asijibu hoja aginst him hapa JF ni nini?
 
Nnnape hajui tu kuwa watu wanampoteza pole pole hivyo, huyu dogo kapiga makelele kibao kumbe watu wamerusha mawe juu huku yeye kaangalia chini, yakishuka atajaza mwenyewe.dogo amka acha kuilaumu JF tu hapa
 
if you don't want to be criticized; say nothing, do nothing and be nothing!
 
How strange Nape, that's cowardice. Wanaume kama akina Zitto, Dr. Slaa, Mnyika etc huwa hawalalami badala yake they come out openly and defend themselves hapa JF. Kinachomfanya asijibu hoja aginst him hapa JF ni nini?
mpiga domo tu yule
 
Sisi tunachofanya ni kumwambia ukweli kwani kusema hawezi au haijui ccm na ufisadi hawezi kumaliza peke yake ni kosa?Kweli anaweza kupambana na EL,AC na LA ambao ndio anawalaumu jukwani sasa kelele za barua na siku 90 mbona hasemi baada ya Mkama kumnyamazisha,angalia ametengeneza maadui wangapi?Zaidi wazee wa ccm wanafiki mbona Mkama hakumwonya Nape mapema juu ya siku 90.Nape mdogo wangu kama unataka mabadiliko ya kweli na ukae kwenye siasa muda mrefu hama ccm ama sivyo funga mdomo ubakie kusema zidumu fikira za mwenyekiti
 
Amekimbilia kulaumu bila kuzingatia kuwa wapo wengi wanaompongeza kwa kauli zake na matendo yake ambayo kwa kiasi fualni yanamtanabaisha kama kijana mwenye nia njema na chama chetu. Nape acha hizo kada mwenzangu kumbuka hapa haupambwi kama bwana harusi bali unaandaliwa kuwa kiongozi bora
 
duh!! chalii nilikuwa namkubali kweli kweli kabla ya uchaguzi, wkt huo na baada ya uchaguzi, nimeamini nilikuwa namshabikia bure tu, namshukuru Mungu kwa kutuepushia mbunge kiazi kwa jimbo la ubungo, hembu jaribuni kuchukua hiyo picha kuwa nnape ndo mbunge wa ubungo na mnyika yupo uraiani? pengo la mnyika kwkweli ni wabunge 20 kama nnape.
 
How strange Nape, that's cowardice. Wanaume kama akina Zitto, Dr. Slaa, Mnyika etc huwa hawalalami badala yake they come out openly and defend themselves hapa JF. Kinachomfanya asijibu hoja aginst him hapa JF ni nini?

Na wasiwasi ww ni mchicha mwiba, hebu kanusha kama sio kweli
 
Nilimuangalia ITV the other day for 10minutes nikagundua kuwa ni debe tupu kama Hiza Tambwe & Makamba..

Anajaribu kutengeneza "sura ya kufahamu" wakati ubongo wake seems unapoteza coordination na mwili...

"Asilimia 80 ya wananchi ni wanachama wawa CCM....CCM in wanachama milioni tano..."! -- Nape!

"..Tunatakana wanachama wachache ambao ni bora na si bora wanachama .. kama China Komunisti Pati.." ! -- Nape!
 
Ok. kuanzia sasa akiongea mambo yake ya kimagamba magamba nitampigia makofi...:msela:
 
Nilimuangalia ITV the other day for 10minutes nikagundua kuwa ni debe tupu kama Hiza Tambwe & Makamba..

Anajaribu kutengeneza "sura ya kufahamu" wakati ubongo wake seems unapoteza coordination na mwili...

"Asilimia 80 ya wananchi ni wanachama wawa CCM....CCM in wanachama milioni tano..."! -- Nape!

"..Tunatakana wanachama wachache ambao ni bora na si bora wanachama .. kama China Komunisti Pati.." ! -- Nape!

du,hii kali ya mwaka
 
Sema na sisi watanzania tunapenda kufuata mkumbo mno
Yaani mtu akiibuka na hoja moja tu ya kumtuhumu mtu fulani tayari anakuwa maarufu na anakuwa mwanasiasa bora,tutakuja kuuziwa mbuzi kwenye gunia

Turudi kwenye hoja na ushauri.Ndugu Nape,njoo hapa jukwaani upambane kwa hoja.Ingawa watu wengi hapa wametumia ID za kujificha lakini itakujenga na kukusaidia zaidi katika mapambano haya ya Fikra.Facebook hakuna Great Thinkers ukilinganisha na Jamii forums,mostly kule watu wata-sympathise na wewe tu! Wewe ni mwanasiasa wa kizazi kipya,jitokeze hadharani kwa jina lako.

Huwa namtilia mashaka sana mwanasiasa ambaye anaogopa kujenga hoja hadharani na badala yake anajificha kwa Id fake.Kwa vyovyote vile wewe ni member wa hapa ndiyo maana umejua kinachoendelea

Chukua hatua kaka
 
Nnape ingia JF kwa jina lako ujibu hoja sio kulalamika kama s..ho....ga!
 
Nilimuangalia ITV the other day for 10minutes nikagundua kuwa ni debe tupu kama Hiza Tambwe & Makamba..

Anajaribu kutengeneza "sura ya kufahamu" wakati ubongo wake seems unapoteza coordination na mwili...

"Asilimia 80 ya wananchi ni wanachama wawa CCM....CCM in wanachama milioni tano..."! -- Nape!

"..Tunatakana wanachama wachache ambao ni bora na si bora wanachama .. kama China Komunisti Pati.." ! -- Nape!

Nilipomsikiliza kidogo alipokuwa anaongea ITV ilibidi nijiulize elimu yake ni ya kiwango gani!
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Niliwahi kuandika humu kwamba namuhurumia Nape kwa sababu hata hajui who is working for. Watanzania wa leo hawahitaji tena porojo, kwani wamelishwa porojo for past 50 years, sasa imetosha.
 
Write a comment...
Nape Nnauye
Nimesoma sana kejeli zilizoko Jf kwa ajili yangu, ipo siku giza na nuru vitajitenga mseme pia msiidhie hapo tu.....

app_2_2254487659_1473.gif
18 hours ago via BlackBerry · Like ·

Back
Top Bottom