Nape Nnauye atulizwa, ateuliwa DC Masasi

Mhhh,

Sina hakika kama kuna cha kushangilia. Naona ni kama mchezo wa kumtuoia mtoto mwanasesere ili aache kukupigia kelele. Sina hakika kama wakuu walikuwa wanafurahia kukaa kwake mjini!

Una macho sana weye
 
Nape angekuwa mpambanaji wa kweli angehama ccm na kujiunga upinzani. Kutuambia ni mpambanaji wakati ameng'ang'ania chama cha mafisadi haingii akilini.

kuna wakati tunajidanganya sana.
lakini hata huku upinzani kuna wengine si wapiganaji wa kweli, ni mafisadi wanaotafuta upenyo tu.
tumeona mifano, watu wamehama chama tawala kwenda upinzani wanaitwa wapiganaji, baada ya siku mbili wanarudi kulekule tunaita wanafiki, jamani wengi wanatafuta maisha tu.
Time will tell

Namkubali Nape na uteuzi wake naukubali kwani alichokuwa anakipigania sasa amepata fursa ya kikutumikia. tunatumaini atatenda kama alivyokuwa anahubiri na watu wa Masasi watafaidika naye
 
Kuna jamaa mmoja, sasa hivi anaenda kuwa mbunge, aliquote msemo mmoja aliouna katika choo cha Schipol Airport Amsterdam kwamba "A Million Flies Eat Shyt, They Can't Be Wrong" (How ironic now they chose him). Akimaanisha kwamba watu wetu wanapata uongozi wanao deserve kwa kuendelea kuuchagua.

Inaweza kuwa "blaming the victim" kwa kuwa watu wengi hawana elimu na wala hawajui haki zao, in any case hawana alternative nzuri, lakini mtu akijichagulia mwenyewe hata kama chaguo ni baya hawezi kukulaumu kwamba umemletea uongozi mbovu.

Waacheni watu wachague wanachotaka, hata kama wanachagua kibaya, uhuru wa kuchagua kibaya ni sehemu ya demokrasia.

........kwa hiyo katika misingi ya demokrasia hiyo statement ni sahihi?
 
Kuna jamaa mmoja, sasa hivi anaenda kuwa mbunge, aliquote msemo mmoja aliouna katika choo cha Schipol Airport Amsterdam kwamba "A Million Flies Eat Shyt, They Can't Be Wrong" (How ironic now they chose him). Akimaanisha kwamba watu wetu wanapata uongozi wanao deserve kwa kuendelea kuuchagua.

Inaweza kuwa "blaming the victim" kwa kuwa watu wengi hawana elimu na wala hawajui haki zao, in any case hawana alternative nzuri, lakini mtu akijichagulia mwenyewe hata kama chaguo ni baya hawezi kukulaumu kwamba umemletea uongozi mbovu.

Waacheni watu wachague wanachotaka, hata kama wanachagua kibaya, uhuru wa kuchagua kibaya ni sehemu ya demokrasia.

Baregu aliisema vizuri sana hii alipokuwa anaongea na kwenye kipindi cha BBC. Unyonge wa watanzania has become a biggest political capital for CCM. Ni sawa na mwanamke yuko wenye ndoo anaendelea kupigwa na mumewe anavumulia tu na kusema huu ndio utamaduni wetu. Ndio maana hata ukisikia wanayoongea wanasiasa utajua kuwa wengi wanagombea nafasi za uongozi kwa ajili ya kujipatia pesa, na wenye pesa wanafanya hivyo ili kulinda mali zao na kujipatia fursa zaidi za kujitajirisha. The know that majority in Tanzania are still blind, and that will remain to be the case mpaka miaka mingi ijayo.
 
Back
Top Bottom