Nape Nnauye atoa Tamko Maalum la CCM kuhusiana na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa nchini

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,582
6,627
[video=youtube_share;A-Jrd58cywo]http://youtu.be/A-Jrd58cywo[/video]

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetaka watendaji wote waliosababisha kuharibika kwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika baadhi ya maeneo nchini wachukuliwe hatua kali.

Kimesema, watendaji hao wanastahili kuchukuliwa hatua kali kwa sababu kilichotokea ni uzembe wa hali ya juu uliofanyika huku ikifahamika wazi kwamba tukio la uchaguzi huo ni kubwa na muhimu sana kwa taifa.

Akizungumza na waandishi wa habari leo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema, kulingana na kosa lililojitokeza kuwa la wazi hakuna haja ya kupoteza fedha na muda kufanya uchunguzi kabla ya kuwachukulia hatua waliohusika.

"Kwa mfano, Mkurugenzi wa Halmashauri ana kila kitu na alijua mapema kuwa uchaguzi utafanyika lini kwa kuwa halikuwa jambo la dharura, inakuwaje anaruhusu karatasi ziende kwenye vituo zikiwa zimechapishwa hovyo au mahali pengine vifaa viwe vicheche?" alihoji Nape na kuongeza "Sasa hapa unahitajika uchunguzi gani tena kubaini aliyevurunda?".

"Mahali pengine zimefika karatasi za kupigia kura jina la mgombea wa CCM nembo ya CUF, au mgombea wa CUF nembo ya CCM! huu ni uzembe wa hali ya juu sana na adhabu yake haistahili kusubiri uchunguzi", alisema Nape.

Akizungumzia matokeo ya awali ya Uchaguzi huo, Nape alisema licha ya vyama vya upinzani kuwa na umri wa miaka 22 sasa, huku vikifanya harakati za kujaribu kuungana katika umoja wanaouita Ukawa, bado CCM imewagaragaraza vibaya.

Nape amesema, katika uchaguzi huo , CCM imepata zaidi ya asilimia 85 ya ushindi kwa nchi nzima, huku Dar es Salaam, ikiwa na asilimia zaidi ya 75 licha ya kwamba Chadema wanao wabunge wawili katika mkoa huo.

"Katika mazingira ya sasa ambayo vyama vya upinzani vina miaka 22, na vinafanya hata harakati za kujaribu kuungana, asilimia 85 si ndogo kwa CCM, na tunaamini huu ni mwanzo mzuri, na hatuoni namna ambavyo asilimia hii itabadilika katika uchaguzi mkuu mwakani, maana uchaguzi huu ni kama kura za maoni", alisema Nape.

"Wanaosema, asilimia ya CCM imeshuka, wajue kwamba tuliposema tunataka mfumo wa vyama vingi maana yake tulitaka ushindani katika demokrasia. Katika demokrasia ya ushindani ni vema kuruhusu vyama vya upinzani vikakua ili ushindani huo uonekane", alisema Nape.

"Hata hivyo inasikitisha kwamba licha ya vyama vya upinzani kuwa na umri wa miakaa 22 sasa, bado havijaweza kujenga imani ya kutosha kwa Watanzania hata kufikia asilimia 40 kuwa vinaweza kuongoza, lazima wapinzania wazidi kujijenga ili Watanzania wawaamini, asilimia hii 14 waliyopata karika uchaguzi huu wa serikali za mitaa bado ni ndogo sana kwa uhai wa miaka zaidi ya 22".

Nape aliwashukuru wananchi nchini kote kwa kuendelea kuiamini CCM, na kuchagua wagombea wake, huku akivipongeza vyama vya upinzani kwa maeneo waliyochaguliwa, akiwataka kuchapa kazi vinginevyo siku za baadaye wananchi watawahukumu kwa kuwatosa.
============================

NAPE: WALIOVURUGA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA WAADHIBIWE

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka watendaji wote waliosababisha kuharibika kwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika baadhi ya maeneo nchini wachukuliwe hatua kali.

Kimesema, watendaji hao wanastahili kuchukuliwa hatua kali kwa sababu kilichotokea ni uzembe wa hali ya juu uliofanyika huku ikifahamika wazi kwamba tukio la uchaguzi huo ni kubwa na muhimu sana kwa Taifa.

Akizungumza na waandishi wa habari leo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye (pichani) amesema, kulingana na kosa lililojitokeza kuwa la wazi hakuna haja ya kupoteza fedha na muda kufanya uchunguzi kabla ya kuwachukulia hatua waliohusika.

"Kwa mfano, Mkurugenzi wa Halmashauri ana kila kitu na alijua mapema kuwa uchaguzi utafanyika lini kwa kuwa halikuwa jambo la dharura, inakuwaje anaruhusu karatasi ziende kwenye vituo zikiwa zimechapishwa hovyo au mahali pengine vifaa viwe vichache?" alihoji Nape na kuongeza "Sasa hapa unahitajika uchunguzi gani tena kubaini aliyevurunda?".

"Mahali pengine zimefika karatasi za kupigia kura jina la mgombea wa CCM nembo ya CUF, au mgombea wa CUF nembo ya CCM! huu ni uzembe wa hali ya juu sana na adhabu yake haistahili kusubiri uchunguzi", alisema Nape.

Akizungumzia matokeo ya awali ya Uchaguzi huo, Nape alisema licha ya vyama vya upinzani kuwa na umri wa miaka 22 sasa, huku vikifanya harakati za kujaribu kuungana katika umoja wanaouita Ukawa, bado CCM imewagaragaraza vibaya.

Nape amesema, katika uchaguzi huo, CCM imepata zaidi ya asilimia 80 ya ushindi kwa nchi nzima, huku Dar es Salaam, ikiwa na asilimia zaidi ya 70 licha ya kwamba Chadema wanao wabunge wawili katika mkoa huo.

"Katika mazingira ya sasa ambayo vyama vya upinzani vina miaka 22, na vinafanya hata harakati za kujaribu kuungana, asilimia 80 si ndogo kwa CCM, na tunaamini huu ni mwanzo mzuri, na hatuoni namna ambavyo asilimia hii itabadilika katika uchaguzi mkuu mwakani, maana uchaguzi huu ni kama kura za maoni", alisema Nape.

"Wanaosema, asilimia ya CCM imeshuka, wajue kwamba tuliposema tunataka mfumo wa vyama vingi maana yake tulitaka ushindani katika demokrasia, katika demokrasia ya ushindani ni vema kuruhusu vyama vya upinzani vikakua ili ushindani huo uonekane", alisema Nape nakuongeza.

"Hata hivyo inasikitisha kwamba licha ya vyama vya upinzani kuwa na umri wa miakaa 22 sasa, bado havijaweza kujenga imani ya kutosha kwa Watanzania kuwa vinaweza kuongoza, lazima wapinzania wazidi kujijenga ili Watanzania wawaamini, asilimia hii 14 waliyopata karika uchaguzi huu wa serikali za mitaa bado ni ndogo sana kwa uhai wa miaka hiyo".

Amesema, asilimia iliyopata CCM wakati matokeo mengine yakisubiriwa ambako uchaguzi uliahirishwa, ni dalili za wazi kwamba, Ukawa bado ni muungano wa mashaka kwa sababu kama wangeungana na kuachiana maeneo ni kweli wangeweza kufika mbali.

"Hebu jiulizeni na ninyi, kama kweli UKawa ulitumika vema, ni kwa nini kwenye karatasi za matokeo ya uchaguzi huu, kila chama kina mtu wake na idadi ya kura alizopata? Kwa nini zisiwe za mgombea mmoja wapo wa Ukawa?... Hii inamaanisha ndoa hii ya ukawa bado sana", alisema Nape.

Nape aliwashukuru wananchi nchini kote kwa kuendelea kuiamini CCM, na kuchagua wagombea wake, huku akivipongeza vyama vya upinzani kwa maeneo waliyochaguliwa, akiwataka kuchapa kazi vinginevyo siku za baadaye wananchi watawahukumu kwa kuwatosa.

Chanzo:Michuzi
 
Ukweli utaendelea kuwa ni ukweli.

Ndoto zitaendelea kuwa ni ndoto.

Baba wa demokrasia ataendelea kuwa baba wa demokrasia.

CCM bado inayaenzi maneno ya mwasisi wake aliposema, ''Bila ya CCM imara Tanzania itayumba''.

Kazi ya CCM ni kupambana na changamoto zinazoibuka siku hadi siku.

CCM imesikia sauti za wananchi kupitia sanduku la kura ambao wamepiga kura kwa pande zote.

Mwananchi anayepiga kura ya hapana anakuwa na maana nyingi katika kura yake, kwa sasa kazi ya CCM ni kunyambua mantiki na maana ya kura za hapana kwa faida ya chama na taifa kwa ujumla.
 
CCM bhana kwanini hamkubali kushindwa? eti unaangalia michuzi tv.....chama dume kinapogeuka kuwa tezi dume. Naona hata hivyo anakubaliana na Chadema kimtindo baada ya kuona kuwa wamepigwa na Chadema........... thubutuu mrudie hili zoezi, hamtakaaa muamini
 
Ukweli utaendelea kuwa ni ukweli.

Ndoto zitaendelea kuwa ni ndoto.

Baba wa demokrasia ataendelea kuwa baba wa demokrasia.
[h=2]
icon1.png
CHADEMA Yaigaragaza CCM uchaguzi wa Marudio Mbozi[/h]
Leo kulikuwa na uchaguzi wa marudio wa Mtaa mmoja Kata ya Vwawa na vitongoji 2 Kata ya Mlowo wilaya ya Mbozi.

Hatimaye matokeo yametangazwa muda huu jioni na Chadema imeibuka na ushindi mkubwa sehemu zote dhidi ya CCM.

Ni shangwe kuu hapa barabara kuu ya kutoka Dar kwenda Lusaka kuna umati mkubwa wa wananchi wakishangilia ushindi huu wa kihistoria.​

CCM bhana kwanini hamkubali kushindwa? eti unaangalia michuzi tv.....chama dume kinapogeuka kuwa tezi dume. Naona hata hivyo anakubaliana na Chadema kimtindo baada ya kuona kuwa wamepigwa na Chadema........... thubutuu mrudie hili zoezi, hamtakaaa muamini
MANI tpaul lusungo CHAMVIGA Simiyu Yetu zumbemkuu everlenk na wengineo Nape kapona mkono jamani
 
Last edited by a moderator:
CCM kama ze comedy aiseee nimeona ile title ya gazeti la Uhuru leo hapa jukwaani nimeishia kufurahi tu, kazi ya uana habari ni ngumu sana kama ya katibu mwenezi wa ccm maana unashawishika kuongea kitu usichokiamini, hata kama kinauma kiasi gani
 
CCM imepata ushindi wa kishindo tunasubiri tamko la kujipa pongezi, Chadema mlie tu
 
Hahahaa Nape analalamika eti uchaguzi umevurugwa ndiyo maana wamepata matokeo haya.
 
NAPE: WALIOVURUNDA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA WAADHIBIWE, UKAWA BADO NI KIINIMACHO

Tuesday, December 16, 2014

NA BASHIR NKOROMO
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetaka watendaji wote waliosababisha kuharibika kwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika baadhi ya maeneo nchini wachukuliwe hatua kali.

Kimesema, watendaji hao wanastahili kuchukuliwa hatua kali kwa sababu kilichotokea ni uzembe wa hali ya juu uliofanyika huku ikifahamika wazi kwamba tukio la uchaguzi huo ni kubwa na muhimu sana kwa taifa.

Akizungumza na waandishi wa habari leo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye (pichani) amesema, kulingana na kosa lililojitokeza kuwa la wazi hakuna haja ya kupoteza fedha na muda kufanya uchunguzi kabla ya kuwachukulia hatua waliohusika.

"Kwa mfano, Mkurugenzi wa Halmashauri ana kila kitu na alijua mapema kuwa uchaguzi utafanyika lini kwa kuwa halikuwa jambo la dharura, inakuwaje anaruhusu karatasi ziende kwenye vituo zikiwa zimechapishwa hovyo au mahali pengine vifaa viwe vicheche?" alihoji Nape na kuongeza "Sasa hapa unahitajika uchunguzi gani tena kubaini aliyevurunda?".

"Mahali pengine zimefika karatasi za kupigia kura jina la mgombea wa CCM nembo ya CUF, au mgombea wa CUF nembo ya CCM! huu ni uzembe wa hali ya juu sana na adhabu yake haistahili kusubiri uchunguzi", alisema Nape.

Akizungumzia matokeo ya awali ya Uchaguzi huo, Nape alisema licha ya vyama vya upinzani kuwa na umri wa miaka 22 sasa, huku vikifanya harakati za kujaribu kuungana katika umoja wanaouita Ukawa, bado CCM imewagaragaraza vibaya.

Nape amesema, katika uchaguzi huo, CCM imepata zaidi ya asilimia 80 ya ushindi kwa nchi nzima, huku Dar es Salaam, ikiwa na asilimia zaidi ya 70 licha ya kwamba Chadema wanao wabunge wawili katika mkoa huo.

"Katika mazingira ya sasa ambayo vyama vya upinzani vina miaka 22, na vinafanya hata harakati za kujaribu kuungana, asilimia 80 si ndogo kwa CCM, na tunaamini huu ni mwanzo mzuri, na hatuoni namna ambavyo asilimia hii itabadilika katika uchaguzi mkuu mwakani, maana uchaguzi huu ni kama kura za maoni", alisema Nape.

"Wanaosema, asilimia ya CCM imeshuka, wajue kwamba tuliposema tunataka mfumo wa vyama vingi maana yake tulitaka ushindani katika demokrasia, katika demokrasia ya ushindani ni vema kuruhusu vyama vya upinzani vikakua ili ushindani huo uonekane", alisema Nape nakuongeza.

"Hata hivyo inasikitisha kwamba licha ya vyama vya upinzani kuwa na umri wa miakaa 22 sasa, bado havijaweza kujenga imani ya kutosha kwa Watanzania kuwa vinaweza kuongoza, lazima wapinzania wazidi kujijenga ili Watanzania wawaamini, asilimia hii 14 waliyopata karika uchaguzi huu wa serikali za mitaa bado ni ndogo sana kwa uhai wa miaka hiyo".

Amesema, asilimia iliyopata CCM wakati matokeo mengine yakisubiriwa ambako uchaguzi uliahirishwa, ni dalili za wazi kwamba, Ukawa bado ni muungano wa mashaka kwa sababu kama wangeungana na kuachiana maeneo ni kweli wangeweza kufika mbali.

"Hebu jiulizeni na ninyi, kama kweli UKawa ulitumika vema, ni kwa nini kwenye karatasi za matokeo ya uchaguzi huu, kila chama kina mtu wake na idadi ya kura alizopata? Kwa nini zisiwe za mgombea mmoja wapo wa Ukawa?... Hii inamaanisha ndoa hii ya ukawa bado sana", alisema Nape.

Nape aliwashukuru wananchi nchini kote kwa kuendelea kuiamini CCM, na kuchagua wagombea wake, huku akivipongeza vyama vya upinzani kwa maeneo waliyochaguliwa, akiwataka kuchapa kazi vinginevyo siku za baadaye wananchi watawahukumu kwa kuwatosa.

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari, leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kutoa tathmini ya matokeo ya awali uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika juzi nchini kote.
 
Mh. Katibu mwenezi wa CCM , Ndg Nape Nnauye amezungumzia uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika hivi karibu. Hii ninayo waletea ni muhtasari tu wa yale aliyo yasema, ukitaka kwa kirefu zaidi tembelea blog ya Michuzi.

  • Walio haribu uchaguzi wa serikali za mitaa kuchukuliwa hatua kali;
  • Vyama vya siasa vina umri wa miaka 22 sasa tangia uanzishwe mfumo wa vyama vingi, vimepata asilimia 20% ya ushindi wa uchaguzi huu, CCM imeshinda kwa asilimia 80%;
  • Vyama vya siasa vilianzishwa ili kuleta ushindani na kujenga demokrasia imara;
  • Vyama vya upinzani havijajenga imani ya kuaminiwa kupewa madaraka ndio maana vimeshinda kwa asilimia 20 tu;
  • Uchaguzi huu ni kama kura ya maoni ya uchaguzi wa mkuu wa 2015, hivyo CCM itashinda kwa asilimia 80;
  • Muungano wa vyama vya UKAWA ni wa mashaka, kwani kila chama kimesimamisha mgombea wake kinyume na makubaliano yao yakusimamisha mgombea mmoja kuanzia uchaguzi huu;
  • Amewashukuru wananchi kwa kuendelea kuiamini CCM

My Take :

Hongera CCM kwa ushindi wa kishindo wa asilimia 80.
 
ni vichekesho sana Nape anapolalamika kama Mpinzani wakati serikali ni ya CCM, hakuna siku ambayo Nape ataongea bila kuitaja Chadema, naamini anaipenda sana basi tu. eti CCM wana asilimia 84% hahahhaahaaa kazi ipo
 
Nape ameonyesha dalili nzuri sana za kuwa wanaelekea kwenye benchi la upinzani ,makelele yake ya mwanzo yananikumbusha chaguzi zilizopita ,ni yaleyale ambayo vyama vya upinzani miaka iliyopita vikiilalamikia tume ya uchaguzi ,sina la kuongezea ila kumkaribisha Nape na Chama chake cha CCM katika kambi ya upinzani ,huu ni mwanzo mzuri sana kuona anajenga hoja za kulalamika.
 
Back
Top Bottom