Uchaguzi 2020 Nape Nnauye ateuliwa kuwania Ubunge jimbo la Mtama peke yake baada ya wagombea wengine kukosa baadhi vya vigezo

Najua itakuwa ngumu kuamini ila ndo ukweli.
Wakati ninyi mnapiga kelele humu wenzenu wanapanga mipango ya kuchukua majimbo.
Wana kaa na NEC wanapanga sheria zao wanazo jua wao.mwisho wa siku wanachukua majimbo KIULAINI

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Mnapoteza muda, sheria ikichukua mkono wake ushindi wote huo unapanguliwa
 

Attachments

  • IMG-20200826-WA0077.jpg
    IMG-20200826-WA0077.jpg
    85.8 KB · Views: 1
Kweli ccm haibaliki kwan miaka mi5 ilopita walikuwa huru wakifanya siasa sasa kumbe bado hawajihamini.

Akseh kulazimishwa kupendwa wakati hupendwi ni dhihaka, aibu na kitendo cha kipuuzi mkubwa sana
Wananchi wa Mtama walikua tayari kukinukisha kupinga uteuzi wa Nape kuwa mbunge wao pasi kumpigia kura. Busara za viongozi zilitumika kuwahakikishia wananchi haki itatendeka na waende nyumbani kwa amani.

CCM mnajizidi kujidhalilisha kwa haya mnayofanya. Tunafahamu kuwa ilikuwa ni lazima Nape, Majaliwa, Kabudi na wengine wapi te bila kupingwa ili wapate muda wa kumsaidia mwenyekiti kampeni bila kuwa na mzigo wa kampeni zao binafsi.

View attachment 1549263
Tupu zenu ziko hadharini.
 
Back
Top Bottom