Uchaguzi 2020 Nape Nnauye ateuliwa kuwania Ubunge jimbo la Mtama peke yake baada ya wagombea wengine kukosa baadhi vya vigezo

emmanuel mruma

JF-Expert Member
Feb 14, 2017
1,575
2,000
Ila hio sheria ya kipuuzi sana kwani tume ikiwa inaona na inawambia wagombea wafanye masahihisho wanakufa
 

Prince Kunta

JF-Expert Member
Mar 27, 2014
18,501
2,000
Uyo msimamizi wa uchaguzi ni mpuuzi ....sitashangaa kama wakimuachia bilaa hata kimpiga kipapai
 

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
52,536
2,000

Jimbo La Mtama nasikia Nape kapita bila kupingwa
🤷🏻‍♂️

Wenye mapenzi na wao wanaililia haki yao waliyopokonywa kihuni
 

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
52,536
2,000
Wananchi wa Mtama walikua tayari kukinukisha kupinga uteuzi wa Nape kuwa mbunge wao pasi kumpigia kura. Busara za viongozi zilitumika kuwahakikishia wananchi haki itatendeka na waende nyumbani kwa amani.

CCM mnajizidi kujidhalilisha kwa haya mnayofanya. Tunafahamu kuwa ilikuwa ni lazima Nape, Majaliwa, Kabudi na wengine wapi te bila kupingwa ili wapate muda wa kumsaidia mwenyekiti kampeni bila kuwa na mzigo wa kampeni zao binafsi.

1598500251624.jpeg

Tupu zenu ziko hadharini.
 

sblandes

JF-Expert Member
Apr 25, 2010
5,556
2,000
Kumbe wanalazimishwa kupita bila kupingwa ili wamsaidie mwenyekiti kampeni, hapo nimeelewa, jamaa wana mbinu za kishamba sana, wacha mwenyekiti apambane kivyake na nyie pambaneni kivyenu.
Yawezekana lakini wapo pia wapinzani wafanya biashara, kwa makusudi wanajaza form vibaya.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom