Nape Nnauye amtaka Ruge afikishe ujumbe kwa Mwalimu kuhusu ile ndoto ya siku ile ya mwisho Dodoma

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,011
144,371
Kuna vitu nitaviandika Ruge kwenye moyo wako, ukamnong’oneze Mwalimu! Umwambie peke yake tu! Usisahau kumwambia ile ndoto ya siku ile ya mwisho Dodoma! ....
D0fv3AXXQAAI5BV.jpg

Chanzo:Ukurasa wake wa twitter.
 
Kuna vitu nitaviandika Ruge kwenye moyo wako, ukamnong’oneze Mwalimu! Umwambie peke yake tu! Usisahau kumwambia ile ndoto ya siku ile ya mwisho Dodoma! ....
.
Sijawahi kukutana na Nape Nauye. Lakini kauli zake zinafanana na uso wake kwa asilimia kubwa. Anacho kipaji cha kusema mawazo yake kwa ufasaha kuliko vijana wengi ninaowafahamu ndani ya chama tawala. Bahati mbaya sijaona maandiko yake yenye sura ya hoja ili niweze kumwelewa vema. Walio karibu naye mwambieni aandike kama Januari Makamba alivyofanya kupitia kwa yule Padre nanihii wa kule kanda ya Ziwa. Tutamwelewa zaidi.

Mama Amon.
 
Atafutaye laana hupata laana....laanatulah alizuia bunge live sijui anataka Nani amuunge mkono saa hizi nchi imeharibika chini ya uasisi wake
 
kama kaamua kufuata njia sahihi tutamsamehe na kumuunga mkono, maadam kaamua kwa hiyari kuachana na njia ovu.
 
.
Sijawahi kukutana na Nape Nauye. Lakini kauli zake zinafanana na uso wake kwa asilimia kubwa. Anacho kipaji cha kusema mawazo yake kwa ufasaha kuliko vijana wengi ninaowafahamu ndani ya chama tawala. Bahati mbaya sijaona maandiko yake yenye sura ya hoja ili niweze kumwelewa vema. Walio karibu naye mwambieni aandike kama Januari Makamba alivyofanya kupitia kwa yule Padre nanihii wa kule kanda ya Ziwa. Tutamwelewa zaidi.

Mama Amon.
Aisee mama amon uko deep.kumbe kulikiwa na mkono wa january kwenye ile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah....hata wewe Nape

Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania 85% wanafiki sana.
Wakiwa nje ya system wanauona ukweli na kuusema,wakiwa ndani hawauoni. Hata ungekuwa wewe, mayalla mabaya sana.

Pole pole yuko wapi?
Mjumbe wa tume ya warioba,aliichamba sana ccm na serikali. (UNAFIKI,MAYAKA)

BASHIRU ALLY KAKURU.
Yuko wapi? Kabla ya uteuzi alikuwa mchambuzi mzuri na haki wa siasa. Sasa hivi siyo yule unayemfahamu,amekuwa mkali na msema hivyo.
(UNAFIKI MAYALA)

LIPUMBA,
SILAA,
WABUNGE NA MADIWANI WALIONUNULIWA?

Msimshangae Nape, mwacheni afanye kile moyo wake unaona kuwa ni sahihi. Mimi nimeanza kumkubali.
HAYA ANAYOFANYA NAPE ANATUBU,ATUBUYE HUSAMEHEWA( japokuwa wanasiasa usiwa% nyingi

Njaa mbaya sana!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom