Nape Nnauye ampongeza Rais Magufuli na Waziri Mwakyembe kwa jinsi walivyoshughulikia suala la Ney

Kada wa CHADEMA

JF-Expert Member
Feb 27, 2016
289
615
Hayo ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter. Naona fahamu zimeanza kumtejea
image.jpg
 
Nchi imekuwa ya mtu mmoja, nchi inaendeshwa kwa matakwa ya mtu mmoja, tuendelee kuyaona na mengine mengi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom