Nani kakuambia hizo habarikweli Mh Nape hana kinyongo
Usisikie madaraka matamu bwana na kuna watu chini yako wanakunyenyekea na bahati mbaya sana Nape alianza kumalizia ofisi baada ya kupata ubunge kimagumashi lakini alipopewa uwaziri ofisi akaiacha .