Manasse
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 352
- 241
Jambo ambalo wengi hatujalijua ktk maisha ni kutafanya jambo kwa kutanguliza Elimu, Pesa, Cheo, Mahusiano na mengeneyo kisha tukaiacha Akili nyuma.
Ikumbukwe kwmb, akili ndiyo imetufikisha hapa tulipo na si jambo lingine, so unapoiacha akili nyuma na kutanguliza mengineyo inaonyesha kufeli totaly.
ONYO ALILOLIKATAA NAPE:
Wakat RC Makonda alipowataja washukiwa wa madawa ya kulevya, Nape aliitisha press na kupinga tendo lile kwmb RC Makonda anachafua brand za watu japo anachokipigania ni sahihi, lakn siku chache baadae rais JPM alionyesha kujibu kwa kusema, "Hatuangalii umaarufu wa mtu, hata kama mkewangu Janeth Magufuli akishikwa na dawa kamata tu".
Nape Nauye eidha hakutambua ama alitambua lakn alipuuzia hili ndiyo maana yamemkuta yalomkuta.
UVAMIZI CLAUDS MEDIA.
Juzi tu hapa vyombo vya habari vilisheheni habari za RC Makonda kuvamia Clouds Media, lakn ukiangalia tukio kisheria huwez kusema kavamia maana uvamizi una elements zake ili uitwe uvamizi.
Waziri wa Habari, Utamaduni akasimmaa mbele ya camera na kuonyesha dhahiri kwmb hakubaliani na kilixhofanyika. Huenda alikuwa sahihi upande mmoja lakn tujiulize, kati ya waziri wa habari, utamaduni na waziri wa mambo ya ndani, ni nani alipaswa kuwa wa kwanza kusimama kwny media?.
Tukio lililotokea Clouds Media akihusishwa RC Makonda si tukio la waziri habari na utamaduni etc kukaa mbele ya camera, ni tukio ambalo Clouds Media walipaswa kulijadili internal kisha wafungue kesi jeshi la polisi kama ilivyo ada, sasa kiongozi tena waziri mwenye dhamana husika, unawezaje kusimama mbele ya camera kumuhukumu kiongoz mwenzako ambaye nyote mnaripoti kwa Rais bila kufikir kwmb tukio husika ni jinai na halina nafasi kwako kama waziri wa habari?.
NAPE ALIPASWA AFANYE HIVI.
Alipaswa kuwaacha Clouds Media wafungue kesi kisha yeye kwa nafasi yake aunde tume ambayo itasaidia kuchunguza swala husika.
Inawezekanaje Clouds Media wamtumie Waziri wa Habari bila kufungua kesi polisi Report Book (RB) kutokana na tukio husika?.
Waziri Nape aliingizwa choo sicho na ndio maana leo kang'olewa kwny nafasi yake. Clouds Media ni kampuni kubwa na inawanasheria so i akuaje waamue kumuita Wazir wa habari mbele ya camera kabla ya kufungua kesi polisi?.
Waziri wa habari alitanguliza mamlaka yake badala ya akili ndio maana yamemkuta yalomkuta, coz kwa mtu mwenyekutanguliza akili angewaza kwanza kusubiri nin mwajiri wake anase.a kubusu tukio husika na si nin private sector zinashinikiza coz alokuajiri sio Clouds Media bali ni serikali na ulikula kiapo kuilinda na kuitetea katiba pamoja na kutunza siri.
NINI YUNAPASWA KUJUA.
Vijana tujifunze kutokana Makosa ya kijana mwenzetu ili nasi gusiharibikiwe. Kwa upande mwingine tunawezasema amebaki na ubunge lakn kuwa waziri ni zaid ya ubunge.
NB: KUWA SAHIHI UPANDE MMOJA HAIMAANISHI HUJAKOSEA UPANDE WA PILI.