Nape Nnauye alazimishwe kuwaomba radhi wana-CCM

Kiturilo

JF-Expert Member
Sep 27, 2021
709
2,858
Kudoda kwa zoezi la chaguzi zinazoendelea ndani ya CCM licha ya Mzee Kinana kurejeshwa ni ishara mbaya kwa chama hicho, kauli za kina Nape kwamba ccm kina wenyewe kimeiharibia vibaya mno ccm. Ni lazima Nape alazimishwe kuwaomba radhi wanaccm na Watanzania kwa ujumla.

WanaCCM wengi wamesusa kuchukua fomu na kushiriki chaguzi zinazoendelea, watu wanajiuliza yale mamia ya wanaccm waliojitokeza kuchukua fomu za ubunge na ngazi zingine enzi ya utawala wa Hayati Magufuli wameenda wapi?

Kuna hisia kali ndani ya mioyo ya Watanzania kwamba sasa ccm imegeuka na kuwa CCM ya wajuaji na wapigaji na kama ni mzalendo wa nchi ni lazima ukutane na kuchafuliwa na kutukanwa kama anavyofanyiwa Luhaga Mpina na Hayati Magufuli waliposimamia masilahi ya taifa.

WanaCCM wanaojitambua wameghazabika na sasa wameichukia CCM na kimbilio lao wanaona ni Umoja party.

Hayati JPM hachafuki.

WanaCCM wanajua kabisa wana kibarua cha kutoyaenzi mazuri ya hayati JPM.
 
Kula BIA kula ngoma, acha kupoteza Muda KUJADILI Wana adam
 
Unazunguka ila lengo lako tu kuhubiri kukubalika kwa hayati. Haya tumeshakusikia tuache tuendelee na weekend sasa.

Yaani of all the people unatolea reference kwa Mpina? Nae kashakuwa supastaa wenu wafiwa?
 
Yani umedoda kwamba kuna nafasi zimekosa wagombea?
Au Wewe kwako uchaguzi ambao haujadoda ni mpaka mpigane marungu kama ile ya Ndugai na wenzake?Acha upimbi
 
Kudoda kwa zoezi la chaguzi zinazoendelea ndani ya CCM licha ya Mzee Kinana kurejeshwa ni ishara mbaya kwa chama hicho, kauli za kina Nape kwamba ccm kina wenyewe kimeiharibia vibaya mno ccm. Ni lazima Nape alazimishwe kuwaomba radhi wanaccm na Watanzania kwa ujumla.

WanaCCM wengi wamesusa kuchukua fomu na kushiriki chaguzi zinazoendelea, watu wanajiuliza yale mamia ya wanaccm waliojitokeza kuchukua fomu za ubunge na ngazi zingine enzi ya utawala wa Hayati Magufuli wameenda wapi?

Kuna hisia kali ndani ya mioyo ya Watanzania kwamba sasa ccm imegeuka na kuwa CCM ya wajuaji na wapigaji na kama ni mzalendo wa nchi ni lazima ukutane na kuchafuliwa na kutukanwa kama anavyofanyiwa Luhaga Mpina na Hayati Magufuli waliposimamia masilahi ya taifa.

WanaCCM wanaojitambua wameghazabika na sasa wameichukia CCM na kimbilio lao wanaona ni Umoja party.

Hayati JPM hachafuki.

WanaCCM wanajua kabisa wana kibarua cha kutoyaenzi mazuri ya hayati JPM.
Umekuja kupigia chapuo umoja party.
 
Zito Kabwe hakuzikwa shimo moja na mama yake kwa hiyo alikuwa hampendi??
Tofautisha kati ya kumpenda mtu na kuwa kiherehere kwa mtu, mnafiki Zitto alisema na kusisitiza wenye viherehere kwa machifu walizikwa nao kama ambavyo hawa viherehere wa Jiwe(Legacy) hata wa humu mitandaoni waende tu Chato wakazikwe pembeni ya kaburi la dikteta mwendakuzimu.
 
Kudoda kwa zoezi la chaguzi zinazoendelea ndani ya CCM licha ya Mzee Kinana kurejeshwa ni ishara mbaya kwa chama hicho, kauli za kina Nape kwamba ccm kina wenyewe kimeiharibia vibaya mno ccm. Ni lazima Nape alazimishwe kuwaomba radhi wanaccm na Watanzania kwa ujumla.

WanaCCM wengi wamesusa kuchukua fomu na kushiriki chaguzi zinazoendelea, watu wanajiuliza yale mamia ya wanaccm waliojitokeza kuchukua fomu za ubunge na ngazi zingine enzi ya utawala wa Hayati Magufuli wameenda wapi?

Kuna hisia kali ndani ya mioyo ya Watanzania kwamba sasa ccm imegeuka na kuwa CCM ya wajuaji na wapigaji na kama ni mzalendo wa nchi ni lazima ukutane na kuchafuliwa na kutukanwa kama anavyofanyiwa Luhaga Mpina na Hayati Magufuli waliposimamia masilahi ya taifa.

WanaCCM wanaojitambua wameghazabika na sasa wameichukia CCM na kimbilio lao wanaona ni Umoja party.

Hayati JPM hachafuki.

WanaCCM wanajua kabisa wana kibarua cha kutoyaenzi mazuri ya hayati JPM.
Magufuli aliharibu vichwa vyenu.
Vijana tulikimbilia kwenye utitiri wa fomu za uchaguzi 2020 kama njia za kuonekana ili tupate fursa za teuzi kakini kafa bila kutuweka sehemu. Kilikuwa hakipendwi chama.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom