Nape Nnauye akiwa na Bernad Membe ameandika ujumbe huu; 'Kila mhunu ave na kwao'

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Mbunge wa Mtama Nape Nnauye ameyasema hayo kwa kukiri kupata mawaidha safi kutoka kwa mbunge wa zamani wa Mtama,

Kutokana na ustaarabu wa mzee Membe na akili ya kupambanua mambo bila kukurupuka,

Sasa wasiolewa watautafsiri ujumbe huu visivyo, mtu kapata mawaidha kwa mtu mwingine inakuuma nini, go go Nauye

Kwenye tweet hii hapo chini akiwa na mzee miongoni mwa wazee wa Busara wa Mtama

 
Kwa wanaojua kuchuja kauli hapokasemaSizonje hafai.

Unaanzaje kumpigia upatu mtu juu ya urais wakati rais yupo na kampeni za urais hazijaanza?

Au ndiyo zishaanza? Na kama zimeanza, mtu anampigia kampeni Membe wakati Sizonje yupo, maana yake nini?

Maana yake Sizonje hafai?
 
Back
Top Bottom