Kisoda2
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 2,475
- 745
wewe unatakaje/kusema nini katika hilo?Mwenyekiti wa CCM hana mamlaka ya kumlazimisha Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge asitoe ripoti.
Especially ripoti ambayo imeshakamilika (Wabunge ndani ya kamati wameshakubaliana).
Especially Mwenyekiti kama Nape Nnauye ambaye mpaka kesho hajasamehe mnyuko wa kudhalilisha aliopewa kutoka na serikali aliyolala misituni kuiweka madarakani.
nakuona kiswahili kinaanza kuwa mureefu tu.
kama hutaki hilo jibu weka la kwako.