Nape Nnauye ahojiwa na TAKUKURU kwa masaa 5

Hivi huyo Lowassa ana pesa kiasi gani hadi adaiwe kutaka au kuwanunua watu wote hao?

Lowasa sio mtu mmoja wewe, hiyo ni taasisi tena ina mafisadi kibao! hata wewe Nyani Ngabu , pamoja na ukongwe wako humu jf unauliza maswali ya kijinga hivi!
 
Last edited by a moderator:
Hapo umenena. Ni muhimu kuwafahamu hawa watu wanaojipitisha pitisha kutaka urais kwa hata miaka ijayo. Huyu Lowasa aliutaka urais kwa nguvu zote na kwa gharama yoyote hata kama ni kuuwa watu. Mungu Mkubwa sana sana hakuna kipimo ametuepusha na janga kuuu. Kwanza fikiria huyu Said Kubenea unadhani kapewa kiasi gani hadi kuja kujitukana na kujidhalilisha kupinga maandishi yake yaliyofanyiwa kazi yakathibitika kuwa ya kweli???

All stones must be turned, ni muhimu haya mambo yakawekwa wazi ili kizazi hiki na kijacho kiwe makini katika kuwapima wanaotaka uraisi wa nchi yetu
 
NAPE 'MBARONI': Takukuru yamshikilia Katibu Mwenezi CCM Nape Nnauye, yamhoji kwa saa 5 Lindi, adaiwa kutaka kuwahonga wajumbe Mtama, anakoomba kugombea ubunge.

Chanzo: Mwananchi


UPDATE:

USAHIHI

Kamanda wa Takukuru Lindi, S. Chami afafanua kuwa walimhoji Nape Nnauye, yabainika fedha alizochukua benki zilikuwa ni kwa ajili ya mawakala.
alihangaika sanaa
 
Back
Top Bottom