Nape njoo Kirumba usiende Arumeru uje uone moto unavyowaka huku | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape njoo Kirumba usiende Arumeru uje uone moto unavyowaka huku

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Kaseko, Mar 18, 2012.

 1. K

  Kaseko Senior Member

  #1
  Mar 18, 2012
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Katika birthday ya CCM iliyofanyika Uwanja wa CCM Kirumba Nape alitamba sana na alinukuliwa akisema kwenye media kuwa chadema haina nguvu na mvuto kwa wanamwanza sasa tunamuomba aje ajionee mwenyewe na yule kiongozi wake wa wamachinga waliomtapeli JK akawapa pesa kumbe si kiongozi wao. Tapeli moja la mitaa ya makoroboi mcheza kamali wa vijiweni.
   
Loading...