Nape ni mti wenye matunda unaopigwa mawe

Greater thinker

JF-Expert Member
Sep 12, 2011
286
38
Mimi nina amin mtu anayekaa na kumkashfu au kumtukana bwana Nape Nnauye ni hana akili timamu..
Kwa sababu kat ya watu kumi wacompenda nape kwa sababu ni wawili tu na hakuna mwenye sababu za mcng hakuna hata mmoja,cjui ni wanafuata mkumbo au ni NAPE DISEASE ambao wanaugua na unaambukizwa kwa wale ma SHALLOWEST THINKER...kwako mtu mzima Nape endeleza harakat zako kwa kupinga ufisad achana nao hao wapuuz wanaoku2kana humu jf na fb..kaza buti mzaz i believe u'l become our PRESIDENT in ze later yearz
 
Unfortunately no. Nape alikuwa na well wishers wengi alipoingia kwenye siasa, na huenda ni kutokana na backaground yake. Hata hivyo alishindwa kujijengea jina kama mwanasiasa aneyepigania maslahi ya Taifa na kujiweka kuwa mwanasiasa anayepigania masalahi ya chama chake na yake binafsi. Angejifunza kuwa wanasiasa wote wanohesihimiwa popote pale duniani wamekuwa na sifa za utaifa ambazo ndizo zinazowafanya wang'are. Utendaji wa Nape umekuwa unalenga mambo mawili tu: CHADEMA na MAGAMBA, as if hayo ndiyo matatizo ya nchi hii. Alifikia kupandikiza majani kwenye uwanja wa ngege wa KIMATAIFA huko Sumbawanga na kudai hayo ni maendeleo yanayoletwa na CCM kulinganisha na CHADEMA! Mtazamo wake kwa maendeleo ya Tiafa hili ni mdogo sana, ila lengo lake ni kushindana na CHADEMA kama alivyotangza mwenyewe kutuma wawakilishi kwenye mitandao yote!
 
The only thing which we are doing in Africa we are folling ouselves everyday we dont talk truth thats is what will make us behind. If we were scientist we would not even event food we cant. Tukitaka maendeleo tuzungumze ukweli sio just covering for for sake of our selfishness.
 
utakuwa mti wa ma funza..lakini nape hawezi kuwa mti wa matunda hata mlimao hawezi kuwa
 
MHhhhhhh kama Nape ndo mnamuona mti wenye matunda ndani ya CCM basi uwezo wenu ndo umefikia kikomo, kwa ujumla CCM hamna jipya la kutuambia watanzania hata kidogo. Nyie mbona hata Makamba mlikuwa mnamuona bora lakni mkamtoa basi mgonjwa akifikia hatua za kufa husema maneno mengi sana poleni sana CCM maana zama zenu sasa zinafikia tamati.

Mpeni naye U- Dr. kama baba yake na riziki namba moja.
 
songa mbele Nape, vijana tuko nyuma yako.

Ha ha ha Nasikia Anampigia Magoti RA akasafishe jina lake Igunga ili baadaye aje tena JF kuwatambia CDM " Mlisema siendi Igunga Mbona Nimeenda" Ha ha ha RA 4 - Nape 0
 
Back
Top Bottom