jambo1
JF-Expert Member
- Jul 5, 2009
- 241
- 29
Alisema: ..Haiwezekani CCM tukae kimya. CCM hatuko tayari kuona viongozi wetu wakidhalilishwa. Kuna vijana wameletwa kutoka mikoa mbalimbali na CHADEMA, hivyo nasi tutatumia vijana wetu kuwalinda viongozi na chama chetu na tusije kulaumiwa kwa litakalotokea..
Sasa tuambie kiongozi gani wa CCM aliyedhalilishwa...,na je uko tayari kubebaya damu ya wana-IGUNGA itakayo mwagika kutokana na kauli za uchochezi kama hizi..!
Mnasisitiza Amani alafu mnaleta vijisababu vya kupoteza amani hiyo..!