wasiweze kwa lipi? picha lkuweka ni ugumu ngani kaka? au unazani wana ccm na wana mwanza wote mbumbumbu?
gamba limeamia mwanza atakua na walopokaji wenzie lusinde na mchemba cku kesho viwanja vya magomen
Tukisema waweke picha hawataweza, basi tunaomba pls uweke picha na nini hasa atakachokiongea hapo Mwanza.
labda wanawake wa si si emwanawake wa mwanza kaeni chonjo.nchemba in da houze
Wanaume wa Mwanza wawe makini na wake zao Nchemba ndani lol!!
Huko Mwanza wanaenda kutafuta aibu,kule kila mtu ni CHADEMA na hawahongeki wakitaka kuamini wakamuulize Masha au Diallo.
Saizi wamejikita katika ng'ome za CDM, Arusha walikuja na kufungua matawi 100 ili kunusuru chama sasa wapo Mwanza maana miji hii imewauma sana kukosa ubunge.Huko Mwanza wanaenda kutafuta aibu,kule kila mtu ni CHADEMA na hawahongeki wakitaka kuamini wakamuulize Masha au Diallo.