Nape, Nchemba na Lusinde ndani ya Mwanza

ngaluma

Member
Apr 26, 2011
11
1
Gamba limehamia Mwanza. Nape atakuwa na wenzie Lusinde na Nchemba siku ya kesho viwanja vya Magomeni
 
Tukisema waweke picha hawataweza, basi tunaomba pls uweke picha na nini hasa atakachokiongea hapo Mwanza.
 
Tukisema waweke picha hawataweza, basi tunaomba pls uweke picha na nini hasa atakachokiongea hapo Mwanza.

Huko Mwanza wanaenda kutafuta aibu,kule kila mtu ni CHADEMA na hawahongeki wakitaka kuamini wakamuulize Masha au Diallo.
 
Ngoja nimpigie simu house girl wangu aende likizo. Jamaa asije kumchafua
 
Nchemba anafuata mke wa nani huko? Makada wa Ccm Mwanza kaeni chonjo, nchemba yuko jijini. Msije mkatulaumu kuwa hatuwaambia.
 
Why magomeni na si kwenye uwanja wao wa CCM Kirumba ? Sina wanataka ku test zali ? Kama wana uwezo let them go in the open the tuone inakuwaje .
 
Huko Mwanza wanaenda kutafuta aibu,kule kila mtu ni CHADEMA na hawahongeki wakitaka kuamini wakamuulize Masha au Diallo.

Masha ndio hana hamu kabisa na wanamwanza,walichomfanya hana hamu kabisa.
 
Huko Mwanza wanaenda kutafuta aibu,kule kila mtu ni CHADEMA na hawahongeki wakitaka kuamini wakamuulize Masha au Diallo.
Saizi wamejikita katika ng'ome za CDM, Arusha walikuja na kufungua matawi 100 ili kunusuru chama sasa wapo Mwanza maana miji hii imewauma sana kukosa ubunge.
 
tunaomba asituletee upupu hapa mwanza aje na hoja za msingi na sera za kudumisha chama siyo gutter politics na kuanza ku attack watu, itakula kwake mbaya nafiiri ana kumbukumbu ya kutosha wakati anataka uenyekiti UVCCM kipindi kile.
 
Back
Top Bottom