Nape naye ang'atuka ugombea NEC, adai anajikita kusimamia uchaguzi (HAKUNA UTHIBITISHO) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape naye ang'atuka ugombea NEC, adai anajikita kusimamia uchaguzi (HAKUNA UTHIBITISHO)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Honey K, Sep 24, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. H

  Honey K JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2012
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nape ameamua kutogombea ujumbe wa NEC kwenye uchaguzi wa ndani ya chama hicho mwaka huu, baada ya kugombea kwa miaka kumi mfululizo na kushinda, sasa ameamua kutogombea ILI APATE MUDA WA KUSIMAMIA UCHAGUZI HUO VIZURI NDANI YA CHAMA...........

  "Si rahisi kuwa refa na mchezaji kwa wakati mmoja, ukatenda haki ipasavyo, hivyo nimeona bora kutogombea ili nipate muda wa kutosha kusimamia mchakato, ili haki itendeke zaidi" alisema Nape.


  Source. Habari Leo
   
 2. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,227
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  yetu macho
   
 3. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,337
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  Makubwa!!
   
 4. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #4
  Sep 24, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,947
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Kwani nafasi ya uvuvuzela inagombaniwa ama anapachikwa tu?
   
 5. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #5
  Sep 24, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,337
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  Kumekucha!
   
 6. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #6
  Sep 24, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 728
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Siasa inayofanyika sasa hivi kiboko... kweli yetu macho.
   
 7. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #7
  Sep 24, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 41,002
  Likes Received: 8,451
  Trophy Points: 280
  Nape naye anakaribia kuachana na siasa uchwara
   
 8. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #8
  Sep 24, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,895
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mh! lipo jambo nyuma ya pazia, sio bure.
   
 9. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #9
  Sep 24, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 11,100
  Likes Received: 3,514
  Trophy Points: 280
  mbona kinana amesema amewaachia vijana?sasa vijana wanasema wanasimamia uchaguzi!hiki ni kizungumkuti.


  KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
   
 10. K

  Kibagata JF-Expert Member

  #10
  Sep 24, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 772
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  naye ameng'atuka?
   
 11. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #11
  Sep 24, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 555
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kila chenye mwanzo kina mwisho
   
 12. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #12
  Sep 24, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,614
  Likes Received: 393
  Trophy Points: 180
  Naona anaelekea hata kunyang'anywa Uvuvuzela kama Vuvu Makamba alivyopendekeza.
   
 13. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #13
  Sep 24, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,528
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hapo chacha...Nape anakataa kijiti...!
   
 14. Mkali Tozz

  Mkali Tozz JF-Expert Member

  #14
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ... ndio vizuri pia awe bize na ile kesi yake ya kuizushia chadema
   
 15. cpt

  cpt JF-Expert Member

  #15
  Sep 24, 2012
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 711
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  Amesoma nyakati huyo hana lolote!
   
 16. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #16
  Sep 24, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 41,002
  Likes Received: 8,451
  Trophy Points: 280
  Naona watamfukuza hivi karibuni.

   
 17. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #17
  Sep 24, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,490
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  uchaguzi upi hio ??
  kwani uchaguzi utakuwa unafanyika kila mwaka ???
  nani aliye mteua hiyo post na hakuna wengine kwanini wastaafu wasisimamie chaguzi ??

  awe wazi ana lake jambo, tutasikia mengi t
  u
   
 18. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #18
  Sep 24, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,490
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  duh ! umewaza mbali sana, maana nasikia hakuna hata mmoja anaye msaidia
   
 19. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #19
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  karibu cdm uje utubu
   
 20. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #20
  Sep 24, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,947
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Nnauye Jr siyo chaguo la wenye ccm
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...