Nape na TCRA hii ni dharau kwa Watanzania

Kinkunti El Perdedo

JF-Expert Member
Nov 28, 2020
4,476
11,026
GT

Hivi ni wazi kwamba waziri Nape na TCRA huwajui taarifa juu ya mabadiliko mapya ya vifurushi ? Yaliyo fanywa na mitandao ya mawasiliano nchini au ni dhihaka kwa Watanzania kwa kutuona Bongo lala.

Ifike muda tuwe na uwajibikaji katika wizara na taasisi za umma ni jambo la aibu kwa waziri kutokujua nini kinaendelea katika wizara yake na taasisi muhimu Kama TCRA.

Mawasiliano katika dunia ya Sasa ya sayansi na teknolojia ni msingi muhimu katika maisha ya watu hivyo mabadiliko yeyote yaathiri maisha ya watu moja kwa moja Kama hili la mabadiliko mapya katika vifurushi hasa MB.

Unaweza shangaa mabadiliko haya sababu ikapewa vita ya Urusi na Ukraine Kama jana watumishi wa umma a.k.a vibarua walivyo shushiwa na kitu kizito kichwa.

Iddi ni kesho mwaliko ndugu zangu waislamu.


Screenshot_20220502-151855.jpg
20220502_151755.jpg
 
Nilivyosikia tu JAMBO LETU LIPO nikajua tayari bei ya vitu inapaaa chap
 
Back
Top Bottom